Akwilina (Tanzania) vs Floyd (USA)

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
AB3D9487-7EF6-465E-BF75-2FBE8E7A86FD.jpg


Visa na matukio duniani yapo mengi na kukosea kupo japo busara ndio kinga kuleta amani.

Kwa wenzetu (USA) mpaka askari imebidi wakubali kujipinga au kupinga kosa lilopo bila kusabisha maafa mengi. Huku Afrika tutajifunza vipi kwa hili
 
Wale Jamaa zetu watasema mabeberu sio watu wazuri wanatuua, utadhani huku kwao makondoo hali ni shwari.
 
Polisi watalaumiwa milele. Ndio waliomsulubisha Mwana wa Mungu. Japokuwa hapa walikuwa wakiutimiza mpango wa Mungu.
 
Huku kesi anabambikiwa Chadema
Tena huku yule askari aliyefyatua "trigger" na kumwua Yule binti asiye na hatia Akwiline Akwilini, akisafishwa na Jeshi la Polisi nchini kuwa hana kosa lolote!

Aisee hili nchi kwa haya maovu yanayoendelea, hakika ipo siku isiyokuwa na jina "patalipuka" hapa nchini
 
Ndo maana siku hizi sikaagi sana online,shule,shule ,shule watu elimu ndogo humu
 
Km sio kina Mbowe kuandamana bila kibali huyo mtoto asingeuwawa

Kama sio Polisi wakatili kufyatua risasi za moto huyu binti asingekufa. Polisi waliofanya kitendo kile na aliyeamua kuwaachia huru damu ya huyu binti iwe jua yao na waje wafe mdomo wazi!
 
Back
Top Bottom