Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Akiwa kazini
Ana pesa,,,,kuhusu billy blanks hiyo sio chai kweliiiNaskia ana hela nyingi na body guard wake kwa sasa ni yule mcheza filamu maarufu Billy Blanks.....
WatanoDuh.. Hivi ana watoto?
Weweee huyu dada kafikisha 50?Nilishangaa kwenye birthday yake mwaka huu anapongezwa kwa kutimiza 50 lakini akili haziendani na umri.
Umeangalia tumakalioo weweHahahahah
Muhindi[emoji7] [emoji7]Uwiiii. Mengine tuwaachie kina Beyonce tu
Aisee hizi bilioni kumi na kitu alizitoa wapi? Kweli haya maisha hayana formular.....Ana pesa,,,,kuhusu billy blanks hiyo sio chai kweliii
Ila kuna sehemu moja utakuta rangi yake ni pink na uweusi wote huo [emoji3] [emoji3] [emoji3]Weweee huyu dada kafikisha 50?
Lakin wanajiamini sana wanapenda rangi zao haswaa
Ana 50 Bila chenchi.Weweee huyu dada kafikisha 50?
Lakin wanajiamini sana wanapenda rangi zao haswaa