badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,118
Whaaat?? Mpaka leo upo nae halafu unamkashifu hivo:what: au sijakuelewa
ndo ujue 'moyo wa mpenzio ni kiza kinene'
Whaaat?? Mpaka leo upo nae halafu unamkashifu hivo:what: au sijakuelewa
ndo ujue 'moyo wa mpenzio ni kiza kinene'
Yani ni hatari, Mungu aniepushie dume la hivi.
amina,..yani mi ndo mana yale mambo 'oh flani nimemuweka kiganjani ' sipendi,wajifaragua wee,anayokusemea huyajui
Kwa nini utoke nduki? Kwani amekuomba umuoe? Ukisusa wenzako wanakula hata kama amenyoa 'O'.Michirizi mwilini, Ndevu, mrefu kuliko mimi, makalio flat pamoja na kifua flat. Mimi hapana aisee lazima nile kona. Kijana nini kitakufukuza na usigeuke nyuma mwanamke akiwa navyo?