Akiwa karibu napatwa hasira.

Akiwa karibu napatwa hasira.

Kama sio mimba ni Pepo

Kama sio pepo ni Jini

Kama si jini ni Shetani unalo.
 
Amesha wahi kukufanya kitu chochote ktk uhusiano wenu ambacho ni kibaya
 
Nijuavyo Mimi hiyo hali Mara nyigi hutokea kama Siku za nyuma alishawahi kukusaliti au alikufanyia kosa ambalo ni gumu kumsamehe...sasa moyo wako bado unampenda lakini inapotokea yuko karibu moyo unaumia au unakumbuka kosa..na hiyo inaonyesha bado haujamsamehe ingawa mlimaliza tofauti zenu!!
 
Habari wanajamvi
Mimi nina tatizo nimeona niwashirikishe nanyi ili mwenye kujua namna ya msaada
Anisaidie. Nipo kwenye mahusiano nampenziwangu tunaishi mikoavtofauti .mpenzi wangu anapokua mbali huwa namtamna nakumkumbuka sana

Lakini siku tunapoonana nae tukiwa kwenye tendo napatwa na hasira sana naweza Fanya tendo mara moja nisitamani tena. Kwa ufupi nakosa hamu ya tendo hasa akiwa karibu.

Nifanyeje mwenye kujua hii hali anisaidie nampenda akiwa mbali ninapomuona napatwa hasira.hili hali hajawai kunikosea ananipenda nampenda Ila awe mbali.
We unapepo kisirani itabidi likemewe kwa nguvu zote . Toka pepo tooookaaaaa ameeen
 
Nijuavyo Mimi hiyo hali Mara nyigi hutokea kama Siku za nyuma alishawahi kukusaliti au alikufanyia kosa ambalo ni gumu kumsamehe...sasa moyo wako bado unampenda lakini inapotokea yuko karibu moyo unaumia au unakumbuka kosa..na hiyo inaonyesha bado haujamsamehe ingawa mlimaliza tofauti zenu!!
Sijawai mfumania akinisaliti
 
Habari wanajamvi
Mimi nina tatizo nimeona niwashirikishe nanyi ili mwenye kujua namna ya msaada
Anisaidie. Nipo kwenye mahusiano nampenziwangu tunaishi mikoavtofauti .mpenzi wangu anapokua mbali huwa namtamna nakumkumbuka sana

Lakini siku tunapoonana nae tukiwa kwenye tendo napatwa na hasira sana naweza Fanya tendo mara moja nisitamani tena. Kwa ufupi nakosa hamu ya tendo hasa akiwa karibu.

Nifanyeje mwenye kujua hii hali anisaidie nampenda akiwa mbali ninapomuona napatwa hasira.hili hali hajawai kunikosea ananipenda nampenda Ila awe mbali.

Yote ni kwasababu jamaa ni govinda nawe huna ukakika kama nafci yako unafurahia hilo govi

by de way mshauri kwatikati ya huba (sio lazima sex) kwa Lugha raini ya nyama ya ulimi nae atakuelewa

Note:Usitegemee mabadiliko ya ghafra

[HASHTAG]#Zinaa[/HASHTAG] ni Haramu
 
#Zinaa_ni_Haramu
 
Back
Top Bottom