Akiwa karibu napatwa hasira.

Akiwa karibu napatwa hasira.

Ndio msichana
Kumbe bado msichana ndo maana nenda nayo hivo hivo hiyo hali
Mpaka ukijakuwa mwanamke basi itaondoka na utaweza kuucontrol mwl ktk hisia zako
Usisahau mazoezi,maji mengi na kula vzur
Akija tena nenda nae out na hakikisha unalala nae nje ya kwako au kwake yaani mlalae hotel
 
huyo huna muda mrefu mtaachana yaan hapo omba lisitokee la kutokea ila ukisikia ana mtu mwengine huwez kumsamehe ng'o ...!
 
Sasa hasira zinakuja katika Hali gani?
Jamaa hayupo romantic?
Uliwahi kuwa na jamaa mwingine kabla ya yeye?
Yawezekn kuna vitu anavifanya wewe havikuvutii mnapokuwa nae, Kama ukitambua hivyo Embu jaribu kumwambia na ikiwezkn kuwa muwazi kwake kuhusu kuboleka kwako
Kama Uliwahi kuwa na mpenzi kabla yake Inawezekn huyo alikuwa more romantic lkn ucfanye comparison na huyu wa ss hiyo itakusumbua
Mtambue jamaa ako ni mtu wa Aina gn na amekulia mazingira gani!!?

Mapenzi ya mkurya co km ya mzaramo!!!
 
Nakumbuka kuna mwanamke nilikua nae alikua hivyohivyo, tatizo liliisha alipoombewa, alikua na jini mahaba. Nakushauri tafuta msaada kwenye imani yako
 
Habari wanajamvi
Mimi nina tatizo nimeona niwashirikishe nanyi ili mwenye kujua namna ya msaada
Anisaidie. Nipo kwenye mahusiano nampenziwangu tunaishi mikoavtofauti .mpenzi wangu anapokua mbali huwa namtamna nakumkumbuka sana

Lakini siku tunapoonana nae tukiwa kwenye tendo napatwa na hasira sana naweza Fanya tendo mara moja nisitamani tena. Kwa ufupi nakosa hamu ya tendo hasa akiwa karibu.

Nifanyeje mwenye kujua hii hali anisaidie nampenda akiwa mbali ninapomuona napatwa hasira.hili hali hajawai kunikosea ananipenda nampenda Ila awe mbali.
Unampenda?
 
Unabeba vitu rohoni ilo la kwanza la pili mpenzi wako ni Mr.Yes kwahy anakuvutia kwa ujinga wake wakukukubalia kubalia kila kitu na mahitaji mengine tu ila sio mvuto wa mapenzi..nadhan hizo ndo sababu...chagua moja
 
Back
Top Bottom