Akiri: Mganga wa kienyeji alininyonya VV

Akiri: Mganga wa kienyeji alininyonya VV

Mmmh, duniani kuna mambo

Nilikuwa nasikiliza redio moja, akina mama wanaulizwa kama wamewahi saidiwa na waganga wa kienyeji
Mmoja akasema alikuwa na matatizo na mmewe

Akashauriwa kwenda kwa mganga, huko Tandika
Mganga akamjibu, kwa kuwa hana kijiwe, wakutane gesti amtibu

Bi dada akaenda guesti kama alivyo
Mganga akamsemea maneno wee
Halafu mganga akamuuliza bi dada, una kitambaa?
Bi dada akajibu hana

Basi mganga akasema atamumia kitambaa chake
Akamvua kyupi, akaanza kumnyonya VV afu anatemea kwenye hicho kitambaa
Akarudia mara nyingi weeeee
Akapiga magoti akaanza kuvua sarawali yake

He ndio bi dada kung'amua anataka kubakwa
Akabeba kyupi chake mkononi akakimbia

Swali kwa wakaka, kama ni mkeo unamwacha?
Swali kwa wadada, inalipa? hata kama asingemwingilia, ila ile kunyonywa tu na kupewa dawa kwa ajili ya ndoa, inalipa??

Hapo kwenye RED napinga kwa nguvu zote,hamna kosa kubwa kama kumrusu kidume kupiga deki,utajikuta ushatoa mzigo
sielewi hizo nguvu za kubeba kyupi alizitoa wapi...?asitake kutuibia mchana kweupe bana
 
I wish ningempata nikamuuliza huyo mama

Kasema hadharani kuwa alikimbia

Hapo kwenye RED napinga kwa nguvu zote,hamna kosa kubwa kama kumrusu kidume kupiga deki,utajikuta ushatoa mzigo
sielewi hizo nguvu za kubeba kyupi alizitoa wapi...?asitake kutuibia mchana kweupe bana
 
Upendo wa mwanaume kwa mkewe huletwa na mwanamke mwenyewe siyo Mganga wala dakitari. Huyu alichojolewa anaogopa kusema ukweli.
 
Nahisi 'uganga aina hii unalipa hadi basi'
think about it na angemlamba na kudai malipo juu....

that is a bonus lol

unalamba mke wa mtu na kumwambia akuletee kuku kesho au mbuzi lol

what an idea kwa wanaopenda k za bure na maisha mtelezo lol
 
Hii kazi nzuri.................Halafu namna comment zinavyotiririka humu unaweza kudhani wanaoenda kwa waganga ni watu watatu tu nchi nzima tena wajinga................Watanzania wanafiki!!!
 
ahahaaaa huyo mganga bana
viungo vyote lazima anyonye huko
au alimwambia anataka kuongeza utamu huko ili mumewe asimuache ?
kwi kwi kwiiiii

Salama lakini?? Dont make me to look for someone.. mbona unanipotezea kihivyo?
 
Nina gesti mwananyamala

Naweza kupa chumba kimoja cha kutibia
ila 10% yangu iwepo tu kwa kila mteja unayemtibu

Nahisi 'uganga aina hii unalipa hadi basi'
think about it na angemlamba na kudai malipo juu....

that is a bonus lol

unalamba mke wa mtu na kumwambia akuletee kuku kesho au mbuzi lol

what an idea kwa wanaopenda k za bure na maisha mtelezo lol
 
Asikwambie mtu "WAGANGA" wa kienyeji wanafaidi wadada na wamama wa kila dizaini hadi WAHESHIMIWA wanamegwa vibaya. Mwanamke yeyote anayekwenda kwa mganga wa kienyeji lazima matatizo yake yahusishwe na K na hao waganga wako very strategic kuzipiga hizo K kwani kwa kujifanya ananyonya anajua demu atalegea tu na itakuwa rahisi kumt*mba. Wengi wamefanyiwa hivyo na wanaendelea kubakwa kila siku kwa kujipeleka wenyewe. Hatari iliyopo ni kwamba hakuna matumizi ya DUME kwani dawa inaingizwa na mb*o live halafu mpaka akojoe ili kuidilute. Swali la kujiuliza ni kwamba Wanawake wangapi wanaenda kwa mganga na wanaliwa kwa mtindo huu na wangapi wameshaambukizwa VVU kwa style hii?
 
Dah, umesema kitu kabisa
Kuna dada rafiki yangu wa karibu sana

Alikuwa anapenda kwenda kuombewa
Kuna siku moja alinipa ushuhuda huu

Wanaingia mmoja mmoja kwa mchungaji acha chumba chake
Na shida yake kubwa ni anataka ndoa
Mchungaji akakemea weeeeeee
Baadae akamsogelea kwa nguvu kabisa anamshika kama anamkumbati hivi
Ila haikuwa usiku
Yule dada hakuelewa kitu, akawa ananiambia, amekwazika na maombi hajaelewa kitu hata kimoja

Kwa hiyo siku hizi, kila mahali changanya na zako

halafu kuna 'wachungaji ' pia wa kilokole wana ibada za usiku za kukesha
na ile kitu wanaita 'deliverance'

acha kabisa......
 
Hilo swali hapo,research yake ni ngumu sana

Watu wengi wanaotumia huduma ya waganga ni wasiri sana, hawawezi kukubali kuwa wanatumia
Na waganga hawawezi kumbu kumbu sahihi ya wateja wao

NA hata kama wanazo kumbukumbu, huwezi wapata wakubali kuwa waliliwa
na ni vigumu kukubali kuimwa pia.

Ila ni research very interesting nadhani

Ni
Asikwambie mtu "WAGANGA" wa kienyeji wanafaidi wadada na wamama wa kila dizaini hadi WAHESHIMIWA wanamegwa vibaya. Mwanamke yeyote anayekwenda kwa mganga wa kienyeji lazima matatizo yake yahusishwe na K na hao waganga wako very strategic kuzipiga hizo K kwani kwa kujifanya ananyonya anajua demu atalegea tu na itakuwa rahisi kumt*mba. Wengi wamefanyiwa hivyo na wanaendelea kubakwa kila siku kwa kujipeleka wenyewe. Hatari iliyopo ni kwamba hakuna matumizi ya DUME kwani dawa inaingizwa na mb*o live halafu mpaka akojoe ili kuidilute. Swali la kujiuliza ni kwamba Wanawake wangapi wanaenda kwa mganga na wanaliwa kwa mtindo huu na wangapi wameshaambukizwa VVU kwa style hii?
 
Kuna mmoja mi nliambiwa anazaa na wake za watu wale wanaotaka watoto.

Si unajua tena mnaweza mkawa hamna watoto kumbe mume ndo inshu...

Basi anakutana nao kwenye three stars sijuhi five stars hotel...jina kapuni;

Anawabaka...

Mmoja alitoa siri akamwambia mumewe...

Mimi haya makanisa...hawajanipata bado!

Afu watu wamejazana kumsikiliza mtu mwenye mikashfa kibao...sijuhi nao wamelogwa...????

Back
Top Bottom