- Thread starter
- #61
Unachokoza nyuki?Kudanga ni kufanyeje?
Unachokoza nyuki?Kudanga ni kufanyeje?
Karibu matrix inatoka ongeza bandoToka lini danga akawa mmoja? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni wivu kwa michepuko
Jibu swaliUnachokoza nyuki?
Jaki jaki utalia sasa hiviJibu swali
Wewe ndo mnafiki namba moja unaeongelewa hapa wala sikushangai.weka na picha kabisa.nilikudanga nini?Jaki jaki utalia sasa hivi
Kumbe unajua maana ya kudanga! NakusameheWewe ndo mnafiki namba moja unaeongelewa hapa wala sikushangai.weka na picha kabisa.nilikudanga nini?
Sijui na sijawai kudanga.ndo hivoKumbe unajua maana ya kudanga! Nakusamehe
MmmhhhWewe ndo mnafiki namba moja unaeongelewa hapa wala sikushangai.weka na picha kabisa.nilikudanga nini?
Kudanga=kusaka.Kudanga ni kufanyeje?
mhhhhh sisi kwetu utatoka kwa baba na mama iwapo umeolewa tu au unafanya kazi mkoa au nchi ngine kaka sasa kama sijaolewa na nafanya kazi hapahapa nlipo na wazazi nikakae wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naunga hoja mkono.
Ukiwambiaga ukweli. Utasikia " Tafuta hela" ..utadhan labda wao wanahela !!kumbe kula kulala kwa baba na mama !! Humu wanakuamo kutafuta wa kuwa show off!!!
Flattery make A Friend ...Truth make an Enemy !!
Aaahhh kumbe?? hilo bado halifanyi muwe na madanga zaidinya saba humu kama alivyosema mtoa mada.mhhhhh sisi kwetu utatoka kwa baba na mama iwapo umeolewa tu au unafanya kazi mkoa au nchi ngine kaka sasa kama sijaolewa na nafanya kazi hapahapa nlipo na wazazi nikakae wapi?
Ni balaaamkuu jina lako linachekesha sana,hivi ilikuwaje hadi ukatumia hili jina
Hamnaga danga la kudumu na danga moja mkuu kudanga ni biashara na wao wamejiongeza kukuza biashara na kupanua wigo wa masoko ha ha ha ha ila kama kuwa nampenzi nakazia watulie na mpenzi mmoja.Aaahhh kumbe?? hilo bado halifanyi muwe na madanga zaidinya saba humu kama alivyosema mtoa mada.
Kua na danga lako linalokumudu. Tulia...sasa unakuta demu anawashikaji wanne humu kisa hawajuani mweeeee nahapo anajisifia anakazi anahela nambwbwe kibao.....
Nn hiyo,???? .....
Flattery make a friend ....Truth make an enemy
Kila mmoja na msalaba wake mkuu !!
Ok ok no more words !![emoji119]Hamnaga danga la kudumu na danga moja mkuu kudanga ni biashara na wao wamejiongeza kukuza biashara na kupanua wigo wa masoko ha ha ha ha ila kama kuwa nampenzi nakazia watulie na mpenzi mmoja.