Akinadada wa JF acheni hizo tabia

Akinadada wa JF acheni hizo tabia

Kwa niaba ya chama cha wasoma comments, napenda kuwaomba wachangiaji wa mada muwe makini ili msituharibie starehe!

Hakikisha unaacha nafasi na kuweka vituo sehemu husika. Pia muweke paragraphs, andiko refu lisilo na mpangilio halifurahishi!

Endeleeni kuzimimina hizo comments, na mbarikiwe sana!
 
Huna lolote kuwa mwanaume kwasababu bado upo katikati ila kama unaona wanawake wanafaidi sana kuwa mwanamke
Nadhani hunielewi, sijasema wanawake wanafaidi ila kudanga kwenu kunatuaibisha! Mpaka unaweka uzi wewe na Demiss kuwa mnatafuta wa kuwatia hivi huoni hiyo ni aibu kwa mtoto wa kike? Kudanga waachie akina pretty kind! Ona sasa kudanga na viBen10 vilivyomkosesha ulaji uwoya na kidot kaukwaa UDC.
 
Kwa niaba ya chama cha wasoma comments, napenda kuwaomba wachangiaji wa mada muwe makini ili msituharibie starehe!

Hakikisha unaacha nafasi na kuweka vituo sehemu husika. Pia muweke paragraphs, andiko refu lisilo na mpangilio halifurahishi!

Endeleeni kuzimimina hizo comments, na mbarikiwe sana!

Hahahahaha hii itatusaidia saana kwa akina sie wapita kimya kimya.....
 
Kimenuka MMU leo, jiwe gizani
Ckuawahi dhania kuna mambo yako siriazi namna hii huku JF, pamoja na id zetu feki lkn watu tunadukuana hadi vyupi!!
 
Back
Top Bottom