Akina Mario....

Akina Mario....

Mambo ya Wadhungu bana ni kasheshe kwelikweli yaani wanakuwa wachovu si kawaida.

Wanashukuru sana Mungu kuwaletea VIAGRA na Operations kuongeza ukubwa wa Dodoki.

Akina dada wawili walikutana na mazungumzo yakawa hivi:

1. Mary: My husband is now Impotent 300%.
2. Jane: How can this be?
3. Mary: Well, the first one you know how, second he bite off his tongue and third chop off his finger.

131586.jpg


Kifaa cha KUBAKA akina Mama, by Kiss Rock Music Member.
 
Mh! Huu utalii wa ngono nasikia umepamba moto Zanzibar, Arusha na Moshi. Mbaya zaidi serikali haina ujanja hapo

yani ,nyie kila kitu serikali,serikali watu wakiwapenda watu wao uko beach serikali ikawazuie!acha umasaburi!aaa
 
Ng'ombe hazeeki maini!! Most of hivi vibibi vinatumika tu, watu wanavisugusugua tu karatasi zikikaa sawa vinapigwa chini, watu washatoka wanaanza maisha na vitoto viduuchu!
 
Ng'ombe hazeeki maini!! Most of hivi vibibi vinatumika tu, watu wanavisugusugua tu karatasi zikikaa sawa vinapigwa chini, watu washatoka wanaanza maisha na vitoto viduuchu!
Hapana mkuu,njaa zitatuua!
 
Hapana mkuu,njaa zitatuua!
Hebu imagine uko kijiweni, shule ya maana huna, ajira huna na wala huna matumaini ya kupata, nauli tu ya daladala mbinde achilia mbali hela ya kula! Utakubali kuwa chance ya kufa njaa hapa au kwa ugonjwa ni kubwa sana. Ghafla kinatokea kibibi cha kizungu kinakushobokea, ukikipa mambo kikakupa visa ya kuingilia nchi za wenzetu si utakua umejiokoa na njaa?

Afu to be honest, hivi vibibi ni safer sana kuliko dada zetu, ukipiga kavu kitoto cha miaka 18 hapo bongo lazima ukapime kesho yake na chances ni kubwa kuwa utakua umelamba kirusi. Lets be realistic guys.
 
yani ,nyie kila kitu serikali,serikali watu wakiwapenda watu wao uko beach serikali ikawazuie!acha umasaburi!aaa
Jifunze kujibu watu. Na sijaona sababu ya msingi ya kejeli zako. Kifupi akili zako fupi kwa maana hujajua wala kusoma popote jinsi utalii huu unavyoweza kuathiri na kuleta mtazamo tofauti kati ya jamii tofauti. Nakusamehe bure ila cha msingi uache kukurupuka
 
inaitwaje niitafute plz
Hii muvi niliiangalia kwa kweli inasikitisha na yaliyooneshwa yana ukweli 100%. Vijana fanyani kazi sio kwenda kuvizia vibibi vya kizungu beach.....
 
Back
Top Bottom