Akina Mario....

Akina Mario....

Sorry LEONARDO umesema umeicheki hii muvi????hebu tupe link yaani naitafuta hii oppotunity vibaya mno bro
 
Ana bandama tu huyu

Ila watu tunajua kujilipua mapenzini jamani? Kama wehu
hata shetani anasema hahusiki? khaa ! hivi kama ni kijana wako huyo bibi atakuita mamamkwe au nani sasa?
 
Ngoja nikupeleke huku


3539_10151499274483792_781938041_n.jpg
sex-tourism-for-women.jpg


Bujibuji akionyesha maujanja zaidi
 
Hebu imagine uko kijiweni, shule ya maana huna, ajira huna na wala huna matumaini ya kupata, nauli tu ya daladala mbinde achilia mbali hela ya kula! Utakubali kuwa chance ya kufa njaa hapa au kwa ugonjwa ni kubwa sana. Ghafla kinatokea kibibi cha kizungu kinakushobokea, ukikipa mambo kikakupa visa ya kuingilia nchi za wenzetu si utakua umejiokoa na njaa?

Afu to be honest, hivi vibibi ni safer sana kuliko dada zetu, ukipiga kavu kitoto cha miaka 18 hapo bongo lazima ukapime kesho yake na chances ni kubwa kuwa utakua umelamba kirusi. Lets be realistic guys.

Mkuu umenichekesha sana!
 
inaitwaje niitafute plz

movie inaitwa paradise love,
ONYO movi hii ina picha nyingi za ngono lakini inafundisha mambo yanayoendelea beach ya mombasa kenya na pengine zanzibar nako ni hivyo hivyo....
 
nashukuru kwa jina la filamu lkn zaidi kwa onyo

movie inaitwa paradise love,
ONYO movi hii ina picha nyingi za ngono lakini inafundisha mambo yanayoendelea beach ya mombasa kenya na pengine zanzibar nako ni hivyo hivyo....
 
Back
Top Bottom