Akina dada wanaondoka na glass Bar

Akina dada wanaondoka na glass Bar

Kuna jamaa tulikuwa nae mahali yeye ndie alivutiwa na glass tena za promotion ya bia. Alipomaliza akamwambia girl friend wake amuwekee kwenye hand bag! Hao kina dada wanasaidiana na kina kaka
 
Mimi wanao nifurahisha ni wale wadada wanaoingia bar na pombe kali kwenye mikoba yao.. Baada ya kuhudumiwa bia kwenye glass utamwona huyo anaingia chemba.. Kabla hata ya kuagiza bia ya pili anakuwa tayali yupo na stimu kibao!
 
kibunango umejuaje yote hayo ushawafuma wanakata Konyagi kwa kuanzia???
 
Mimi wanao nifurahisha ni wale wadada wanaoingia bar na pombe kali kwenye mikoba yao.. Baada ya kuhudumiwa bia kwenye glass utamwona huyo anaingia chemba.. Kabla hata ya kuagiza bia ya pili anakuwa tayali yupo na stimu kibao!

Kibunango uliyajulia wapi haya wakati ww huku waja mara moja kwa mwaka
 
Hii nimeiona mara kibao nikiwa Bar sasa naona inajengeka hii tabia kume kuwa na tabia mbaya kwa kina dada wanao beba mikoba a.k.a kipima Joto pindi wamalizapo kilaji basi anaweka na bilauli kwenye mkoba nakuondoka nayo kusiko julikana mara ya kwanza nilijua pengine kaja nazo baada ya kuondoka nikauliza kwa muhudumu nikaambiwa tumesha lizwa.
Sasa dada Bia/wine umenunuliwa unaiba glass ya nini jamani mbona mnatutia aibu wengine mpaka chupa za bia wanabeba.
Wakuu Masanilo,Chrispin aangalieni vijiweni mnakotembelea ukiona sister duuu kaja na mkoba mkubwa mtilie shaka.
Vitabia vya kijerumani... mi naona huu mwizi kama wizi mwingine naninaamini wenye bar wakiipata hii wataifanyia kazi...
 
Jamani mtatufanya tusiwe tuna beba vijibegi vyetu kwa raha khaaa! huyo ni mrembo wa uswazi bwana sio wote tuko hivyo inabidi atuambie alikuwa bar gani ukutwe alikuwa uswahilini akakutana na vituko uswahilini

Hata kama ni kweli kwamba sio wote wanaobeba mikoba ni wezi wa glass kwenye mabaa,lakini kwa macho yangu nilimwona dada moja kwa kukadiria anaweza kuwa na umri wa miaka kati 30 hadi 35 alisokomeza glass mbili majira ya saa mbili usiku katika baa ya NGURUKA karibu na kituo cha mafuta cha ENGEN, mbezi beach.
 
.....mh Fidel warembo wake na huko anakopataka kinywaji wana vituko vitupu.
[/COLOR]

Hehehehe mm iwa nakuwa kiwanja naona matukio haya live sometime nikuambiwa na wahudumu wenyewe.
 
Mambo ya suvunia (souvenir) hayo...!
Bwawani Hotel enzi zile walipokuwa nazo, walikuwa na glass nzuri sana kiasi cha wadada wengi kushawishika kuondoka nazo.

Ilikuwa ni rahisi kujua kama demu anapenda kwenda klabu kwa kuona tu glass za Bwawani nyumbani kwake! Glass hizo licha ya kuwa nzuri sana zilikuwa na lebo nzuri ya hoteli hiyo!
 
Mambo ya suvunia mbona hata makaka wanayo pia... Nilisha wahi kuona kibibi cha kitasha kikificha silver spoon (enzi hizo) ndani ya ndege (Swiss). Wapo wanao ondoka na mataulo kwenye mahotel, wapo wanao amua kwiba madukani (antique and jewelry shop) Nadhani ni tabia tu... katika moja ya tabia mbaya.
 
umenikumbusha enzi za shule, rafiki yangu 1 akifika supermarket moja Uchumi iko Nairobi, anatoboa mfuko wa pipi anachukua anakula, anazunguka kila saa anakula mpaka atoke amekula pipi hata 5, hii tabia inakua ndo anakuja kuazna kuiba ma towel hotelin
 
Tabia mbaya sana hii wajameni!

hasa kwa kina dada haipendezi kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom