Akina dada wanaondoka na glass Bar

Akina dada wanaondoka na glass Bar

Au kama kusimamiwa itakuwa kazi,basi wafanye taratibu kama za library,kila anayeingia na mkoba auache counter mpaka atapomaliza starehe zake!!

Tukiacha counter mikoba yetu tutamwaminije huyo counter maana hakawii kutoa chenchi zetu mikobani akarudishia wateja...... cha msingi Fidel atuambia hiyo bar aliokuwa akaona huyo mrembo akiweka glass kwenye mkoba wake iko mitaa ipi ndani ya jiji hili ili tujue kama ni kweli ama anatuzuga maana nimemuuliza naona kawa mpole hajibu
 
Wakuu haya mambo yapo watu tunashuhudia kwenye Bar glass zinapungua kila mara mzigo mpya unaletwa wadada wanapiga deal kwenye mikoba yao.

Mmhh unafanya kazi bar?naomba ufafanuzi katika hiyo niliyohighlight na red color,umejuaje kwamba mzigo mpaya umeletwa? kaka hebu leta ufafanzi wa kina hapa,sijakuelewa kabisa katika kauli hii.
 
mi siku nyingi sana huwa najiuliza kwanini kina dada wanabeba haya mamikoba makuubwa utadhani labda wananyonyesha sasa wamebeba nepi za watoto humo, kumbe wana mambo yao, JF bana!!.
 
Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na wengineo uone watakavyopinga. Si unajua ukweli unavyouma?

mi sibishi..watu wanaganga njaa bana, kama wale wanaochomoa vitu uwanja mpya wa taifa kukiwa na mechi..
 
Jamani mtatufanya tusiwe tuna beba vijibegi vyetu kwa raha khaaa! huyo ni mrembo wa uswazi bwana sio wote tuko hivyo inabidi atuambie alikuwa bar gani ukutwe alikuwa uswahilini akakutana na vituko uswahilini

Demu wa uswahili toka lini akabeba mkoba aka kipima joto ni nyie wenyewe maduu mnabeba mpaka chupa jamani mnatia aibu kwakweli yaani unakuta mtu analimkoba kubwaaaaa kumbe yupo kazini dah
 
Mmmh labda kabati la mashosti wako ndo lina glass tofauti tofauti,huu sasa ni uongo yaani mpaka toothpick,Chrispin tutake radhi kwa hili,Hili nalipinga kwa nguvu zote unataka kutwambia kuwa kila anaebeba pochi kubwa anaondoka na glass za bar? QUOTE]

Siwataki radhi mpaka hapo mtakaponihakikishia mtaacha tabia hii mbaya.
 
Au kama kusimamiwa itakuwa kazi,basi wafanye taratibu kama za library,kila anayeingia na mkoba auache counter mpaka atapomaliza starehe zake!!

mtunza mikoba wa baa....atazikwa pua zote!
 
mi siku nyingi sana huwa najiuliza kwanini kina dada wanabeba haya mamikoba makuubwa utadhani labda wananyonyesha sasa wamebeba nepi za watoto humo, kumbe wana mambo yao, JF bana!!.

Mmhh unafanya kazi bar?naomba ufafanuzi katika hiyo niliyohighlight na red color,umejuaje kwamba mzigo mpaya umeletwa? kaka hebu leta ufafanzi wa kina hapa,sijakuelewa kabisa katika kauli hii.

Inawezekana anafanya kazi bar sasa kila mara napata short ya glasses kila akitoa mzigo akija funga anakuta zimepungua na haoni zilizovunjika na boss anataka maelezo anaamua kujitetea kwa hili
 
mi siku nyingi sana huwa najiuliza kwanini kina dada wanabeba haya mamikoba makuubwa utadhani labda wananyonyesha sasa wamebeba nepi za watoto humo, kumbe wana mambo yao, JF bana!!.

Unajua komredi huu uchunguzi binafsi nimeanza siku nyingi kuufanya kisha nawauliza wamiliki wa Bar nao wanakiri hivyo hivyo nimezunguka Bar kubwa mpaka ndogo ndo maana Bar zingine wanaamua kuweka Glass zile za kuanzia maisha hawaweki zile nzuri nzuri wanaingia sana hasara.
 
Mmmh labda kabati la mashosti wako ndo lina glass tofauti tofauti,huu sasa ni uongo yaani mpaka toothpick,Chrispin tutake radhi kwa hili,Hili nalipinga kwa nguvu zote unataka kutwambia kuwa kila anaebeba pochi kubwa anaondoka na glass za bar? QUOTE]

Siwataki radhi mpaka hapo mtakaponihakikishia mtaacha tabia hii mbaya.

Wenye tabia mbaya ni hao mashosti wenu mnaoenda nao bar na mnawaona kabisa wakiweka glass kwenye mipochi yao na hamwuwakatazi, mnafurahia ee kuona glass za aina tofauti nyumbani kwa mashosti wenu eee nawapeni pole kwa kuwa na mashosti wakwapua glass za watu bar
 
ni tabia mbaya wanaoiba glass bila kupewa. wengine wanakuwa na visingizio eti souvenir ya bar waikumbuke si glass tuu hata vijiko visu uma na kwenye mahoteli makubwa mataulo yanaibiwa sana
 
ni tabia mbaya wanaoiba glass bila kupewa. wengine wanakuwa na visingizio eti souvenir ya bar waikumbuke si glass tuu hata vijiko visu uma na kwenye mahoteli makubwa mataulo yanaibiwa sana

Dada umesahau na Condom.
 
Jamani mtatufanya tusiwe tuna beba vijibegi vyetu kwa raha khaaa! huyo ni mrembo wa uswazi bwana sio wote tuko hivyo inabidi atuambie alikuwa bar gani ukutwe alikuwa uswahilini akakutana na vituko uswahilini
Samaki akioza mmoja...
 
ndio maana kwenye magesti hausi ya uswazi mashuka na taulo zinagongwa nembo!, kandambili wanachanganya rangi saizi sawa lakini moja kijani nyingine njano!, hahaaaaa, wenye bar nao wabuni mbinu zaidi.
 
Sasa ulijuaje kuwa mzigo mpya wa glass umeingia na zimepungua? au wewe ni stock controller?

Hahahaha unajua ukiwa mteja mzuri kama pale Mango Garden au Jolly au Bills sasa maeneo kama hayo sisi wateja wa kila siku tunajulikana na glass zetu zinajulikana ukifika unaletewa glass tofauti lazima uulize vp tena leo unaambiwa wamebeba wale wale sasa unajiuliza unakuta binti mbichi anatembea na koba kuuuuuuuuubwa kama kama ananyonyesha vile kumbe dah yupo kazini achani bana tabia hizo.
 
ndio maana kwenye magesti hausi ya uswazi mashuka na taulo zinagongwa nembo!, kandambili wanachanganya rangi saizi sawa lakini moja kijani nyingine njano!, hahaaaaa, wenye bar nao wabuni mbinu zaidi.

Hahahaha kandambili zinakuwa za mguu mmoja kama kulia basi nikulia yaani wanawake bana koba kuuubwa anaingia nalo akitoka tu hapo basi mafuta,soap, kandambili vyote kasunda kwenye mkoba kama vyake vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom