payuka we ni kiboko kweli...huyo demu nimemfatilia muda mrefu mpaka anakubali ilikuwa ni kazi kweli...ndio maana nikaamua nimuoneshe malavidavi ya kufa mtu....
inabidi wataalam watengeneze condom za mdomon maana watu wengi tunapenda kwenda chiumvini[/QUOTE]
subiri fangasi za mdomoni kwanza ndo tutengeneze condom zamdomoni
wanaJf bwana...kwani hata kama mtu ukimkuta mtaani huna haki ya kumpa malavulavu? cha msingi ukishamuona ni msafi basi we songa mbele kumpa mahaba yatakayomfanya asikusahau...
mimi nnajuaga janaume linalotoa siri za mpenzi wake haliwezi zuia UZUSHI,ushanfehemu nilichomaanishaHvi majuzi nilikuwa safari kule Kilosa, kwabahati nikakutana na dada mmoja wa kule Musoma. akanikubali na tukaenda kunako kuanza shughuli pevu. Pamoja na ujanja wangu wote, yule dada nilihangaika naye uwanjani mpaka mimi mwenye nikachemsha..hafiki kileleni kabisa...Baada ya kumchunguza kwa umakini ingawa mwenyewe alikuwa hataki nikagundua kuwa alikeketwa...yaani kuna kiungo muhimu kilinyofolewa mahali pake..
Je hii inaweza ikawa ndio sababu sikuweza kmfikisha kileleni? Naomba michango yenu wanaJF...
Ukitafuta kumridhisha usiyemjua ni kutafuta balaa. Friction au michubuko utaikwepea wapi ndugu yangu. Huna majukumu nini? Ugenini piga bao moja style kuku halafu unakula corner.
Hii nafikiri ni kwenye jukwaa la mahusiano, mapenzi etc
Nafikiri ikipelekwa kule utapata jibu mkuu:A S-alert1:
ni wakurya wote waliokulia huko mara, labda awe alikimbilia sehemu kama dar na wazai wake kabla ya kufanyiwa hivo...utachapa kitu mpaka mwenyewe uchanganyikiweivi ni wakulya wote?
Unauliza majibu tena! Point mzima ya unyama wa kukeketa wanawake ni ili wasipate pleasure, eti ndo atakuwa mke mzuri, binadamu kiumbe cha ajabu sana! Hakuna mnyama katili kama sisi!
Clitoris ina concentration ya nerves kubwa kuliko sehemu yoyote ya mwili wa binadamu, wanasema ni kama uchukue nerve ending zote za kwenye uume uziweke kwenye area ndogo ya clitoris, sasa fikiria balaa lake hilo!
hata umuandae kwa muda gani...hana hamu kwa kweli ya mapenzi. yaani nilijitahidi kutumia kila style lakini Duuuh, haikufua dafu..
Hawana hisia ! basi tabu kwa maana hiyo basi nusu ya Watanzania hawafiki kilelelni!? kwa sababu hapa unazungumzia wachaga,Wameru,wanyaturu,Wkurya na wenzao wpte wa Musoma,Msai ,Wmbulu,Wiraq,WATATURU, Bargabaig WARANGI NA wengine .....Basi TANZANIA HAKUNA MAPENZI KAMA NUSU YA WANAWAKE HAWAJUI!
Vipi makabila badala ya kukeketa,wanavuta ki...mbe na kuwa kirefu!
Ni makabila gani Tanzania?