Akina dada waliokeketwa.Kufika kileleni ni kazi mno!!!

Ukitafuta kumridhisha usiyemjua ni kutafuta balaa. Friction au michubuko utaikwepea wapi ndugu yangu. Huna majukumu nini? Ugenini piga bao moja style kuku halafu unakula corner.
 
payuka we ni kiboko kweli...huyo demu nimemfatilia muda mrefu mpaka anakubali ilikuwa ni kazi kweli...ndio maana nikaamua nimuoneshe malavidavi ya kufa mtu....
inabidi wataalam watengeneze condom za mdomon maana watu wengi tunapenda kwenda chiumvini[/QUOTE]

subiri fangasi za mdomoni kwanza ndo tutengeneze condom zamdomoni

wanaJf bwana...kwani hata kama mtu ukimkuta mtaani huna haki ya kumpa malavulavu? cha msingi ukishamuona ni msafi basi we songa mbele kumpa mahaba yatakayomfanya asikusahau...
 
tatizo la wabongo wengi ni waoga...hivi kuna makosa gani kumpatia raha mwenzio hata kama ndio mmekutana? eti chapa half uondoke, hivi dem yeye akisema akifika kileleni hata kama we hujamaliza akakwambia uondoke, utakubali? acheni hivyo, wapeni raha na wenzenu pia...
 
Hvi majuzi nilikuwa safari kule Kilosa, kwabahati nikakutana na dada mmoja wa kule Musoma. akanikubali na tukaenda kunako kuanza shughuli pevu. Pamoja na ujanja wangu wote, yule dada nilihangaika naye uwanjani mpaka mimi mwenye nikachemsha..hafiki kileleni kabisa...Baada ya kumchunguza kwa umakini ingawa mwenyewe alikuwa hataki nikagundua kuwa alikeketwa...yaani kuna kiungo muhimu kilinyofolewa mahali pake..
Je hii inaweza ikawa ndio sababu sikuweza kmfikisha kileleni? Naomba michango yenu wanaJF...
mimi nnajuaga janaume linalotoa siri za mpenzi wake haliwezi zuia UZUSHI,ushanfehemu nilichomaanisha
 
Hii nafikiri ni kwenye jukwaa la mahusiano, mapenzi etc
Nafikiri ikipelekwa kule utapata jibu mkuu:A S-alert1:
 
ivi ni wakulya wote?
ni wakurya wote waliokulia huko mara, labda awe alikimbilia sehemu kama dar na wazai wake kabla ya kufanyiwa hivo...utachapa kitu mpaka mwenyewe uchanganyikiwe
na kuna baadhi ya wazaz huwa wanawapeleka wenyewe kutoka dar kwenda kuwakeketa huko kwao muda ukifika. ni balaa sana..
 
Unauliza majibu tena! Point mzima ya unyama wa kukeketa wanawake ni ili wasipate pleasure, eti ndo atakuwa mke mzuri, binadamu kiumbe cha ajabu sana! Hakuna mnyama katili kama sisi!
Clitoris ina concentration ya nerves kubwa kuliko sehemu yoyote ya mwili wa binadamu, wanasema ni kama uchukue nerve ending zote za kwenye uume uziweke kwenye area ndogo ya clitoris, sasa fikiria balaa lake hilo!
 
duuh, kumbe wanaenjoy kuliko hata sisiE?!!!!?
kama ndio hivyo kwa nn jamaa wanawafaniyia huo unyama?
 
hata umuandae kwa muda gani...hana hamu kwa kweli ya mapenzi. yaani nilijitahidi kutumia kila style lakini Duuuh, haikufua dafu..

Vilele viko vingi sana kwa mwanamke, hebu tembelea kwenye jukwaa kuu utakuta thread ambayo nitaiweka sasa hivi uone wenzio wanavyowafikisha vileleni
 
Vipi makabila badala ya kukeketa,wanavuta ki...mbe na kuwa kirefu!
Ni makabila gani Tanzania?
 
Wachagga wanakeketa, si uongo...wachagga wengi wanaotembea barabarani hao wamekeketwa nakuambia ukweli..unajuaje kama mimi nimefanya research? warombo karibia wote wenye umri wa miaka ishirini na kuendelea au wale ambao bado wanaishi kijijini, wamekeketwa..acheni kuondoa kiungo muhimu icho jamani.
 
Hawana hisia ! basi tabu kwa maana hiyo basi nusu ya Watanzania hawafiki kilelelni!? kwa sababu hapa unazungumzia wachaga,Wameru,wanyaturu,Wkurya na wenzao wpte wa Musoma,Msai ,Wmbulu,Wiraq,WATATURU, Bargabaig WARANGI NA wengine .....Basi TANZANIA HAKUNA MAPENZI KAMA NUSU YA WANAWAKE HAWAJUI!
 
siyo nusu ya wanawake hawafiki kileleni...ni zaidi ya 75% hawafiki kileleni...this is terrible...hivi kumbe wachaga wamebobea katika hii biashara ya ukeketaji...
 
Vipi makabila badala ya kukeketa,wanavuta ki...mbe na kuwa kirefu!
Ni makabila gani Tanzania?

mi naona hawa wanaofanya hivyo wanafanya hivo ili kuwafanya mabinti wa-enjoy radha ya mapenzi... hivi ni makabila gani hayo?????
 
ndiyo nilitumia ingawa kabla ya hapo tulikuwa na majambo mengi ili kupata mushawasha wa mapenzi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom