Akina dada waliokeketwa.Kufika kileleni ni kazi mno!!!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,515
2,000
Hvi majuzi nilikuwa safari kule Kilosa, kwabahati nikakutana na dada mmoja wa kule Musoma. akanikubali na tukaenda kunako kuanza shughuli pevu. Pamoja na ujanja wangu wote, yule dada nilihangaika naye uwanjani mpaka mimi mwenye nikachemsha..hafiki kileleni kabisa...Baada ya kumchunguza kwa umakini ingawa mwenyewe alikuwa hataki nikagundua kuwa alikeketwa...yaani kuna kiungo muhimu kilinyofolewa mahali pake..
Je hii inaweza ikawa ndio sababu sikuweza kmfikisha kileleni? Naomba michango yenu wanaJF...
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,515
2,000
nilipomeleza ukweli kuwa nimegundua tatizo lake alihuzunika sana. akaonekana kuwalaumu waliomfanyia hivyo. tufane nini ili tuwakomboe hao ambao hawajafanyiwa hivyo?
 
roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,369
0
mbona umeichomeka huku...???
kuna wakurya humu labda watatupa mwangaza wanawafikishaje wake zao...kwa wale waliooa kabila lao...
 
roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,369
0
nilipomeleza ukweli kuwa nimegundua tatizo lake alihuzunika sana. akaonekana kuwalaumu waliomfanyia hivyo. tufane nini ili tuwakomboe hao ambao hawajafanyiwa hivyo?

ningekuwa mie nikijua nimefanyiwa hivyo...siendi na mwanaume mahali kufanya hayo mambo,kwa nini kujidhalilisha na kukumbukia maumivu???
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,515
2,000
ningekuwa mie nikijua nimefanyiwa hivyo...siendi na mwanaume mahali kufanya hayo mambo,kwa nini kujidhalilisha na kukumbukia maumivu???
kweli, lakin inaonekanaalifanyiwa hivyo akiwa bado mdogo sana. nadhani hata hao wakurya wanaowaoa hawawafikishi kileleni, wanachofanya ni kujiridhisha tu wenyewe...
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,212
2,000
ningekuwa mie nikijua nimefanyiwa hivyo...siendi na mwanaume mahali kufanya hayo mambo,kwa nini kujidhalilisha na kukumbukia maumivu???
Usiseme siendi na mwanaume..labda useme huendi na mwanaume "CHASAKA", hapo wachaga wananielewa, yaani mwanaume ambaye ni wa kabila la mbali na mila hiyo....wale wenyeji wa huko wanaona kawaida maana wa huko wote wamelengetwa!
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,515
2,000
Usiseme siendi na mwanaume..labda useme huendi na mwanaume "CHASAKA", hapo wachaga wananielewa, yaani mwanaume ambaye ni wa kabila la mbali na mila hiyo....wale wenyeji wa huko wanaona kawaida maana wa huko wote wamelengetwa!

hapo umenena ila hiyo siyo dawa...labda hawa ambao bao tuwasaidie wasifanyiwe hivyo..
 
mfarisayo

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
5,161
2,000
Kwa kweli ishu ya kukeketwa ni noma mi mwenyewe nilikua na demu aliyekeketwa kwa kweli ni noma kwenye mechi hana hisia kabisa na hata umshikeshike vp hisia zake ni za mbali sana na ni mtu mwenye huzuni sana kwani hunieleza kuwa ananipenda sana ila hawezi kuniridhisha kwenye malovee kwani wakati wa tendo kuwa hajisikii raha sana
 
hawezi kukuridhisha au wewe ndio huwezi kumridhisha?:embarrassed:
 
ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,904
2,000
Hvi majuzi nilikuwa safari kule Kilosa, kwabahati nikakutana na dada mmoja wa kule Musoma. akanikubali na tukaenda kunako kuanza shughuli pevu. Pamoja na ujanja wangu wote, yule dada nilihangaika naye uwanjani mpaka mimi mwenye nikachemsha..hafiki kileleni kabisa...Baada ya kumchunguza kwa umakini ingawa mwenyewe alikuwa hataki nikagundua kuwa alikeketwa...yaani kuna kiungo muhimu kilinyofolewa mahali pake.. Je hii inaweza ikawa ndio sababu sikuweza kmfikisha kileleni? Naomba michango yenu wanaJF...
Kukeketwa sio sababu. Tatizo ni maandalizi
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,690
2,000
Kama ni hivyo kwa kweli hao wanaowatendea hicho kitendo wanafanya ukatili wa hali ya juu.
 
Babuyao

JF-Expert Member
Jun 6, 2009
1,738
1,500
Bado utaalamu wako katika majambo hayo ni hafifu. Rudi darasani tena ukapate mbinu mpya.
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,529
2,000
Hvi majuzi nilikuwa safari kule Kilosa, kwabahati nikakutana na dada mmoja wa kule Musoma. akanikubali na tukaenda kunako kuanza shughuli pevu. Pamoja na ujanja wangu wote, yule dada nilihangaika naye uwanjani mpaka mimi mwenye nikachemsha..hafiki kileleni kabisa...Baada ya kumchunguza kwa umakini ingawa mwenyewe alikuwa hataki nikagundua kuwa alikeketwa...yaani kuna kiungo muhimu kilinyofolewa mahali pake..
Je hii inaweza ikawa ndio sababu sikuweza kmfikisha kileleni? Naomba michango yenu wanaJF...

hebu tupe namba yake tumpigie tumulize kama kazi unaijua au ulikuwa unashindilia nguzo ya tanesco isiangushwe na radi?!. Nikitoa mawazo nitakuwa sijamtendea haki huyo unayemwita wa musoma.
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,515
2,000
Kama ni hivyo kwa kweli hao wanaowatendea hicho kitendo wanafanya ukatili wa hali ya juu.
wanawafanyia unyama wa hali ya juu kabisa. yaani ningekuwa rais kule mara pasingekalika kwa sasa maana wanaendelea kuwakeketa kwa kwenda mbele tena mbele ya ofisi za serikali wakati mwingine na hii hufuatliwa na maandamano makubwa, mtaani
 
mfarisayo

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
5,161
2,000
Unaweza kupiga dakika 30 kwa mtu aliyekeketwa wala asistuke akawa anakuangalia tu
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,515
2,000
hebu tupe namba yake tumpigie tumulize kama kazi unaijua au ulikuwa unashindilia nguzo ya tanesco isiangushwe na radi?!. Nikitoa mawazo nitakuwa sijamtendea haki huyo unayemwita wa musoma.

hapo ndio kuna ugumu, nikupe namba ya simu.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom