Akina dada waliokeketwa.Kufika kileleni ni kazi mno!!!

Kwa kweli ishu ya kukeketwa ni noma mi mwenyewe nilikua na demu aliyekeketwa kwa kweli ni noma kwenye mechi hana hisia kabisa na hata umshikeshike vp hisia zake ni za mbali sana na ni mtu mwenye huzuni sana kwani hunieleza kuwa ananipenda sana ila hawezi kuniridhisha kwenye malovee kwani wakati wa tendo kuwa hajisikii raha sana

i beg to differ, kwani wewe ukiwa na ambaye hajakeketwa unachukua muda gani kutema?, mi wangu zmekeketwa na mara nyingine hunitangulia. Nakushangaa wewe, jiangalie.
 
mmmh, labda huyo wako walimgusa kwa juujuu.. kwa kawaida nikiwa na wengine ambao hawajakeketwa huwa wananitangulia tena zaidi ya mara moja. nanihii ya kwanza natumia kama 10 to 15 minutes...
 
Kwa mtu asiyejua madhara ya kukeketwa anaweza kubisha na kudhani watu hawana ujuzi lakini ukimpata mwanamke aliyekeketwa atakwambia hata bila kufanya naye tendo la ndoa. Mimi aliniambia kabla hatujafanya naye tendo la ndoa na alinisihi sana nisitoe siri hiyo kwa hujisikia aibu sana
 
hayo yote unayosema ni kweli kabisa. yaani hawa watu waliokeketwa nawaonea huruma hata mimi. halaf hata ile radha yao siyo nzuri kabisa maana ushirikiano wao kwa kweli siyo mzuri..
 
Wakati wa mechi utakuta hata hajitikisi akilala amelala utamgeuza utakavyo paka uchoke
 
hata umuandae kwa muda gani...hana hamu kwa kweli ya mapenzi. yaani nilijitahidi kutumia kila style lakini Duuuh, haikufua dafu..

...Nilidhani hii inaanzia kwanza kwenye Ubongo ndio mambo mengine yafuate, au???? :confused2:

unalosema ni kweli kabisa...hata wao kisaikolojia baada ya kufanyiwa hivyo hawajakaa vizuri kabisa. ndio maana hat unapofanya naye anakuwa ameshajiaandaa kuwa hatafaidi hilo tendo..hivyo hata ufanyeje, hatapata raha..that is my opinion...you can criticise...
 
Hvi majuzi nilikuwa safari kule Kilosa, kwabahati nikakutana na dada mmoja wa kule Musoma. akanikubali na tukaenda kunako kuanza shughuli pevu. Pamoja na ujanja wangu wote, yule dada nilihangaika naye uwanjani mpaka mimi mwenye nikachemsha..hafiki kileleni kabisa...Baada ya kumchunguza kwa umakini ingawa mwenyewe alikuwa hataki nikagundua kuwa alikeketwa...yaani kuna kiungo muhimu kilinyofolewa mahali pake..
Je hii inaweza ikawa ndio sababu sikuweza kmfikisha kileleni? Naomba michango yenu wanaJF...
Its not always the case. Usisingizie kukeketwa. sema tu hukuweza kuspot sensitive point nyingine zaidi ya clit... Unajua wanaume wengi tunadhani kwamba wakati wa shughuli, kazi ni kuingiza tu kule kwenye kishimo. Lakini ukweli ni kwamba wakati wa shughuli mikono midomo na viungo vingine vinatakiwa viendelee kutafuta sehemu nyingine iliyo sensitive. Nilishakuwa naye aliyekeketwa, na hakuna siku niliyotoka naye halafu asifike kileleni.
 
you make me laugh a lot
 
Ishu sio tu kufika kilele tatizo ni kwamba hata akifika kilele hafurahii tendo
 
Hvi majuzi nilikuwa safari kule Kilosa, kwabahati nikakutana na dada mmoja wa kule Musoma. akanikubali na tukaenda kunako kuanza shughuli pevu. Pamoja na ujanja wangu wote, yule dada nilihangaika naye uwanjani mpaka mimi mwenye nikachemsha..hafiki kileleni kabisa...Baada ya kumchunguza kwa umakini ingawa mwenyewe alikuwa hataki nikagundua kuwa alikeketwa...yaani kuna kiungo muhimu kilinyofolewa mahali pake..
Je hii inaweza ikawa ndio sababu sikuweza kmfikisha kileleni? Naomba michango yenu wanaJF...
hujui kutia tutokee hapa,wewe ndio walewale wanaosingizia jua
 
We Pakajimmy ina maana wachaga wamo kwenye hii mambo? Cjakusoma, chakachua hiyo Mangi.

wlikuwemo ila kwa sasa naskia hawafanyiwi tena....kidogo wamepata elimu...hata hivyo madem wa kichaga hawajui mambo..utadhani bado wamekeketwa na wakati hawajafanyowa hivyo. #Wanakwambia eti we ingiza tu, ukimaliza niambie...nikalishe ng'ombe wangu huko zizini..
 
Ni kweli kabisa kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Betty Mkwasa Wachaga ni moja ya makabila ambayo yanaongoza kwa biashara haramu ya kukeketa wanawake lakini ni KWA SIRI KIBWA SANA.
 
Duuuh, hii ni kama press release!!! lakini hata husikii wakisemwa kama wakurya, watu wa mara.
 
Nakumbuka betty mkwasa alipoenda Moshi katika kijiji kimoja walikuta karibu asilimia 90 ya kila kaya kuna mwanamke aliyekeketwa
 
sasa kamandiyo hivyo, mbona watu wa haki za binadamu n mashirika ya tgnp hawawapigii kelele kama wanavyofanya kule mara?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom