Akina Dada na haya Madera mnayovaa siku hizi

Yako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani.
Lakini nimegundua kabisa madera haya yayoakkisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani.

Pia nimefahmu siku hizi hamvai underskirts...wala tight ambazo atleast ziyashikilie makalio yasichezecheze.

Sasa swali.

Hivi kwanini mnatufanyia hivi ....!?? Mnatutaka nini.!?

Na vi chupi hivi mnavyovaa siku hizi ni kama kamba...yani unaona kila kitu.

Kwakweli hili lijadiliwe hapa.

Nia yenu ni nini hasa!??

Bila picha mkuu?

c.c. Honey Money Penny
 
Wale mnaohitaji picha....
Screenshot_20190323-122352.png
 
Yako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani.
Lakini nimegundua kabisa madera haya yayoakkisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani.

Pia nimefahmu siku hizi hamvai underskirts...wala tight ambazo atleast ziyashikilie makalio yasichezecheze.

Sasa swali.

Hivi kwanini mnatufanyia hivi ....!?? Mnatutaka nini.!?

Na vi chupi hivi mnavyovaa siku hizi ni kama kamba...yani unaona kila kitu.

Kwakweli hili lijadiliwe hapa.

Nia yenu ni nini hasa!??
Maisha magumu mdau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom