Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,137
- 60,906
Basi hali imekuwa mbaya sana kama ni hivyoLakini wake za watu...
Naona waume wanawaambia wajiongeze daa dunia hii mbaya sana
Basi hali imekuwa mbaya sana kama ni hivyoLakini wake za watu...
[emoji1][emoji1][emoji1]nimesha jitoa kudai kodi, wanapambana na wife[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wanataka kukulipa kodi kwa njia nyingine