Akina Dada na haya Madera mnayovaa siku hizi

Kazi kwako unaeanza kuyaona leo hayo madera wenzako mitaji ilishawakata na kurudi kwao uchagan kisa hayo madera mkuu

Sent using IPhone X
 
Yako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani.
Lakini nimegundua kabisa madera haya yayoakkisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani.

Pia nimefahmu siku hizi hamvai underskirts...wala tight ambazo atleast ziyashikilie makalio yasichezecheze.

Sasa swali.

Hivi kwanini mnatufanyia hivi ....!?? Mnatutaka nini.!?

Na vi chupi hivi mnavyovaa siku hizi ni kama kamba...yani unaona kila kitu.

Kwakweli hili lijadiliwe hapa.

Nia yenu ni nini hasa!??
"Miaka ya nyuma kidogo ulkua unafunua chupi ulione tako la mwanamke, lakin kwa sasa unafunua tako ili uone chupi ya mwanamke"( Madebe Lidai 2019).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani.
Lakini nimegundua kabisa madera haya yayoakkisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani.

Pia nimefahmu siku hizi hamvai underskirts...wala tight ambazo atleast ziyashikilie makalio yasichezecheze.

Sasa swali.

Hivi kwanini mnatufanyia hivi ....!?? Mnatutaka nini.!?

Na vi chupi hivi mnavyovaa siku hizi ni kama kamba...yani unaona kila kitu.

Kwakweli hili lijadiliwe hapa.

Nia yenu ni nini hasa!??
Wengine tupo vijijin tutaaminije bila picha? Weka picha tushuhudie wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna hawa naoo
IMG_20190323_152156.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom