Akina dada msijidanganye

JF Imeingiliwa
 
Mnaongea sana as if you hv been there. Olewa/oa uone joto lake. Mijitu inalala mzungu wa 4 leo mnakuja na unafiki eti kuna data. Angalia rate ya kuoa na kuachana utajua siyo dili kivile mnashoboka.
 
Mgiriki kikubwa ni kumheshimu Mungu na kusikia sauti yake. Ni ndoa ngapi wana usikivu huo au utii kwa Mungu wao. Mazingira uliyokulia hukuwahi kufurahi wala kuona bb na mm wanachekeana leo huyo huyo usiyejua maana furaha unataka ufurahishwe na nani? It begins with you, wanaume hamjitambui mmeamua kuwa waangaliziaji au qapoga chabo muoe familia kubwa zenye majina kurahisisha maisha na kuhalalisha ijinga.
 
Kipendacho roho mwaya..s kwa sababu ya kutaka kuolewa ndo aolewe na l gume lllo mshnda mtyume.....aaaaghhka.
 

Teh teh teh teh JIWE GIZANI ukisikia YALAAAA ujue tayari. Ngoja waje ma DESPERATE WIVES

Ila twende mbele turudi nyuma Ndoa ina furaha yake tena hasa pale unapoitwa Baba/Mama fulani ukiwa kwenye ndoa! Kikubwa ni kupata bahati tu ya kuolewa lkn sio SIZITAKI MBICHI HIZI


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 

kweli kabisa sizitaki mbichi hizi wengi mno humu.
Hapa wanajifanya hawataki ndoa lakn kumbe mioyon mwao kunatokota ham ya ndoa
 

ww dogo usishushe lawama bure mm hapa sijantukana ntu mm nmeongelea upande wa selective sasa ww kama imekugusa kaa fikiria namna ya kujirekebisha
 
Kuna maisha mazuri na matamu kuliko hiyo ndoa mfyuuuuuuuuu...... eti kisa na miaka 30 ndiyo nichukue makapi nani kasema lazima ukidhi vigezo na mashart nyooooooo..... 30 mtuache eti ndoa ... ndoa zenyewe mnaziweza peleka huko pumbafu kabisa

heheheeee! miss chagga hapa jiwe jiwe gizan limetua utosin kwako mbona povu hivyo?
Punguza mashart kudadeki upate ndoa.
Mwanamke unamasharti kama mkataba wa freemason
 
Last edited by a moderator:
heheheeee! miss chagga hapa jiwe jiwe gizan limetua utosin kwako mbona povu hivyo?
Punguza mashart kudadeki upate ndoa.
Mwanamke unamasharti kama mkataba wa freemason

Ha ha ha ha vigezo na masharti kuzingatiwa hata niwe kibibi ukiona unataka niwe mwenzio lazima ukidhi vigezo
 
Last edited by a moderator:
Vita baina ya jinsia, kazi kweli!!
 
Kuna my bro aliambiwa bdo hajafikia vigezo ki1 wapo kilikuw mkwanja bt mungu si Mgiriki akampata mwingne ambaye ni ndugu wa huyo wa kwanz and aftr a year na nusu ndoa ikafuata and mpaka nw lyk miaka minne imepita yule wa kwanza bado anasugua gaga nyumbani nov anagonga 32..
 

huyo lazma aisome namba japo kuna ambao wanaumia kwa kauli yangu lakn ukweli kuna wadada wanaboa utafikir wao hawana mapungufu. ....... Kuna jamaa yangu alimtaka nesi mmoja hivi demu kaanza kuleta nyodo mara akaanza kuulizia unavitega uchumi gani? Jamaa itabidi akawa mpole akaachana naye sasa hvi yule mwanamke ametandikwa mimba na jamaa aliyempa kajikataa sasa hvi kanaangaika tu.
 
Ha ha ha ha vigezo na masharti kuzingatiwa hata niwe kibibi ukiona unataka niwe mwenzio lazima ukidhi vigezo

mbona na ww umeshindwa kutimiza mashart yaleee niliyokupa? Timiza kwanza yale niliyokupa halafu na mm natimiza l.k alaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…