Akina dada msijidanganye

Mgiriki are you pointing on your EX or what. Acha kusema wanawake ovyo. Inakera. Mbona nyie mnawekaga vigezo? kama haupo tayari kuoa pishaa, na kama ushaoa tulia name mkeo, let people surf Love.
 
Mgiriki are you pointing on your EX or what. Acha kusema wanawake ovyo. Inakera. Mbona nyie mnawekaga vigezo? kama haupo tayari kuoa pishaa, na kama ushaoa tulia name mkeo, let people surf Love.

nmekusoma mkuu........ Ila kama hujawahi kukutana na selective sawa unaweza kunilaumu lakn kama ungekutana nao wala usingelaumu. Wao ndio wanaongoza kuchagua tena wao ndio wanalalama
 
so unataka wawe zoa zoa yeyote twende kisa age inasoma 30 mmmmh hapana hata wakiwa wanafunuliwa papuchi ni yao au yako??? kikukeracho kipi mmengekuwa pacha mlioungana nisingeshangaa otherwise umevurugwa somewhere

Yamekukuta si bure.
 
Kuna maisha mazuri na matamu kuliko hiyo ndoa mfyuuuuuuuuu...... eti kisa na miaka 30 ndiyo nichukue makapi nani kasema lazima ukidhi vigezo na mashart nyooooooo..... 30 mtuache eti ndoa ... ndoa zenyewe mnaziweza peleka huko pumbafu kabisa


Khaaaa yaani wewe umeuliza swali langu.. Ndoa wanaziweza? au basi tu ajulikane ameoa
 
haahahha...kwikwikwikwi.......jamanieeee, mbavu zangu, huu uzi nauprint nikaubandike geto...dah. mgirik we acha , mimi nilimbiwa niende jim kwanza eti angalau niwe na tumisuli kidogo. Dah Mateso haya

Uliambiwa na yule demu alikua anataka akasomee drvin???au???
 
Lazima ukweli uchukuwe mkondo wake! Sasa mwanamke akiwa kwenye 30's na hajaolewa wala kupata mtoto wataalamu wanasema kuna uwezekano mkubwa wa kuzaa watoto wenye mtindio wa ubongo au watoto wasiofundishika yaani mayai yenye rutuba yalishaisha jamani dada zangu mlio kwenye umri huu hala hala jameni tupunguzieni mataahira mashuleni!
 

Kama hiii
 

Attachments

  • 1406232677931.jpg
    11 KB · Views: 206

Hili ndo jibu mujarabu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…