Akina Dada huu sio ungwana kabisa

Akina Dada huu sio ungwana kabisa

Serious kweli miss nafind,unaonekana uko vizuri sana kwenye mambo ya jiko..nikaribishe siku nionje mambo yako
Karibu sana ndo napika pika hapa
IMG_20180617_110838.jpg
 
Hajafanya vizuri huyo manzi, lakini kama mtoto wa kiume usicomplain kihivyo. Inaonyesha hata angemaliza ungekuja kulalamika anakula vibaya, ngendembwe namna hii zipo, just learn to chill.
 
Ulikutana na sister duu anaekula na kuacha akifika kwao anajutia
 
Kwan kama angekimaliza ungefaidikaje?? ukitoa umetoa usitizame matumiz yake utaumia!!
 
Mkuu only 20 ndo umemind hivyo,always mwanaume lazima a risk,kitu kinafikaga hadi 100k for one night bia na msosi tu
 
Back
Top Bottom