Akina Dada huu sio ungwana kabisa

Akina Dada huu sio ungwana kabisa

Kuna Dada huwa namfukuzia,Leo ameniomba nimtoa lunch hotel ,nikamwambia poa twende

Tumefika pale nikamwambia mhudumu msikilize huyu
Mdada kaagiza niletee hiki,hiki,hiki,na kile, nami nikaagiza chakula changu simple tu

Baada ya kumaliza kula bill iliyokuja ni elf 28, Sasa cha kushangaza ,pamoja na chakula kile chote alichoagiza huyo mdada hata robo hakula, amedonoa donoa,amekiacha kipo vile vile,kinywaji amepiga pafu moja tu

Nimelipa ila shingo upande,hiyo hela imeniuma sana,nawaza nirudi pale hotelin niwambie nitunzie hicho chakula jioni nakuja kukichukua,

Na kwa nini nyie akina dada uaigeze chakula ambacho huwez kula ukamaliza? Au hajui hela ni ngumu kuipata?

Sasa tutaogopa kuwatoa lunch


matumizi mabaya ya fedha bora ungebeti tu ujue moja mkuu
 
Hakupendi huyo na kwakuwa hakupendi kaamua akukomoe kwa style hiyo..pole
 
Umenikumbusha mmoja miaka hy yeye kaagiza mazagazaga kibao alafu akadonoa hapo kidogo tuu, mi nilivyomaliza kula nkashangaa mtu kaitisha mfuko wa rambo kavimwagia huko vyote, sikumuuliza chochote ila ndio ilikua mwisho wa mahusiano yetu yaliyokua ya mda mfupi.
 
Mimi nikishiba naomba nifungiwe kilichobaki aisee sitaki masihara kbs ,pesa ya mtu hyo katumia aargh
Ni wachache saana wenye ujasiri huo kama wewe,ni bora kama anajiona yupo full siyo lazima ale kuliko kuchezea chakula!
 
Kuna Dada huwa namfukuzia,Leo ameniomba nimtoa lunch hotel ,nikamwambia poa twende

Tumefika pale nikamwambia mhudumu msikilize huyu
Mdada kaagiza niletee hiki,hiki,hiki,na kile, nami nikaagiza chakula changu simple tu

Baada ya kumaliza kula bill iliyokuja ni elf 28, Sasa cha kushangaza ,pamoja na chakula kile chote alichoagiza huyo mdada hata robo hakula, amedonoa donoa,amekiacha kipo vile vile,kinywaji amepiga pafu moja tu

Nimelipa ila shingo upande,hiyo hela imeniuma sana,nawaza nirudi pale hotelin niwambie nitunzie hicho chakula jioni nakuja kukichukua,

Na kwa nini nyie akina dada uaigeze chakula ambacho huwez kula ukamaliza? Au hajui hela ni ngumu kuipata?

Sasa tutaogopa kuwatoa lunch
Haaaaaaaah! Nimecheka make ilinitokea jana ila halikula na kumaliza
 
Ni wachache saana wenye ujasiri huo kama wewe,ni bora kama anajiona yupo full siyo lazima ale kuliko kuchezea chakula!
Wengine wanahisi kuagiza chakula na kula kidogo ukaacha ndyo usista du, utaonekana wa kishua , hawajui tu waliokilipia hicho chakula wanavyofeel, hahaaa kama huyu mleta mada.
 
Ila pia kuna wakaka wanadonoa donoa chakula jamani, nilishawahi kumshuhudia brother meni Fulani kaagiza chips kuku kadonoa jujuu tu kaacha ,nilishangaa kiasi
 
Umenikumbusha mmoja miaka hy yeye kaagiza mazagazaga kibao alafu akadonoa hapo kidogo tuu, mi nilivyomaliza kula nkashangaa mtu kaitisha mfuko wa rambo kavimwagia huko vyote, sikumuuliza chochote ila ndio ilikua mwisho wa mahusiano yetu yaliyokua ya mda mfupi.
Duh
 
Msikilize Mugabe
FB_IMG_1530780848888.jpeg
 
Ila pia kuna wakaka wanadonoa donoa chakula jamani, nilishawahi kumshuhudia brother meni Fulani kaagiza chips kuku kadonoa jujuu tu kaacha ,nilishangaa kiasi
Hao ndo wale wanaofel sita kwa sita
 
Back
Top Bottom