N nyantuzu Member Joined Oct 1, 2014 Posts 87 Reaction score 24 Dec 17, 2015 #41 aaaarrgghh, yani vitu vyote vimeondoka,alidhamiria kwelikweli. Mkuu inavyoonekana na wewe ungekuwepo angekuiba akupeleke kwao.:angry:
aaaarrgghh, yani vitu vyote vimeondoka,alidhamiria kwelikweli. Mkuu inavyoonekana na wewe ungekuwepo angekuiba akupeleke kwao.:angry:
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,249 Reaction score 3,070 Dec 19, 2015 #42 Tabia za wanawake wakorofi via wanahulka za umalaya via uswahilini Pole mkuu usikute mpaka tambala la deki kachukua ndo zao ili umuone yy noma aiseee
Tabia za wanawake wakorofi via wanahulka za umalaya via uswahilini Pole mkuu usikute mpaka tambala la deki kachukua ndo zao ili umuone yy noma aiseee