Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,559
1,506
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,559
1,506
so ukipigwa mzinga baadae itakua sawa? kazi mnayo,ushapiga hesabu unatoa lunch, then unaanza ufumuzi! kaazi kweli!
100% acceptable nikipigwa mizinga baada ya ka-muda fulani, siyo eti very soon baada ya outing ya lunch unaongezea na mzinga wako, ina maana tusingekutana usingekarabati hizo nywele zako? inaboa kwa kweli!!!!!
 
Oct 3, 2011
66
10
We vipi, apo u should be thankful mtu amekuonesha makucha yake bado kweupeee.!! Unajua kabisa, she's not HER from th start. . . . . odhawise, pole kaka!!!
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,559
1,506
ahhha kazi kwelli kweli
haliwi mtu bure hapa kizazi cha kinyonga hiki...ahhhha so funny kwa kweli
umeona-eeh, mi ikishakuwa ivo nakubali kula hasara ya lunch tu basi! hela ya saluni hupati ng'o!
 
Jackson jonh

Member
Aug 11, 2011
46
7
kweli inaboa,mi ishanitokea mara kibao tu,kuna mtoto mmoja nilimuaproach akaniambia anamchumba ila yupo nje ya nchi,akasema yuko tayari kuwa na mimi ila nitambue ana mchumba,nami nikakubali nikijua baaa ya mda nitamkoreza na atamsahau tu huyo mchumba ake,baada kama ya wiki moja hivi nikamuomba tukutane ili tulizindue penzi letu,akaniambia mbn una haraka hivyo?basi mi nikawa mpole,lakini baada ya siku mbili yeye akaniambia anaomba nimpatie 15000 eti mwele akasuke kimasai nikamwambia kwa sasa sina,alichonijibu ni kwamba kama huwezi kuhudumia acha wanaweza kuhudumia watumie,nami nikampotezea,coz yeye kuduu alisema bado mapema nisiwe na haraka nikamsikiliza,lakini yeye anataka pesa mbon hakuona kama nae ni haraka
 
Yaani wanashangaza sana! hivi hawa madada huwa hawana washauri? naona kama huwa wanakuupuka halaf wanakosa kila kitu!....na mimi aliponiambia hivyo, nilimpiga chini immediately bila kujishauri mara mbili....
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
1,284
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!mhh wenawe kupigwa plafoma ya saluni tu ndo kelele namna i?

ahh wewe bwna mpe mwenzako aende saluni ..na atakwambia stak nije na kucha izi so nipe elfu 50 ya kucha...na kope izi sztak nipe ela ya kope...
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
1,284
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!nawewe pia una haraka sana yaan KUMPA LUNCH TU NA KUOMBA GAME APO APO?
wewe pia ulikaa kigamae game tu na si mapenz thats y na yeye akaona bora apress plafoma mapema...yaan ukaona pesa ya lunch inatosha kabsa aende KUILIPIA?

ungeuchuna kdg ....uliwaisha kuomba game na yeye akaawaisha kukuomba pesa....
 
arabianfalcon

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,289
583
MMMh! kazi kweli ipo,ss kwani kama unampenda kwanini usimpe? pesa ya saloon unalalamika ungeambiwa ununue gari? ebu wacha ubahili wako umemuona mzuri ndio mana ukamfatia mbio ulidhani anavaa majani? huna mpya ......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom