Akili za wanawake...

Elewa sivai nusu uchi please!!! Tabia ya mtu sio mavazi
 
Elewa sivai nusu uchi please!!! Tabia ya mtu sio mavazi
Najua huvai nusu uchi ,,ila sasa hii ni malumbano yahoja ..

Wewe unasema mavazi sio tabia .

Mimi nasema mavazi kiasi fulan humuongezea mtu bargaining position .


Imagine mpo wawili , we umevaa nusu uchi lkn unatabia nzur alafu mwenzako kavaa kiheshima lkn anatabia mbaya ....kisha mkapelekw kukutanishwa na mwanamme mgeni asowajua ,,, unahisi ninan atajiuza tu mwenyewe pasipo kuongea ????

Kizuri hujiuza nakibaya mpaka kijielezee " oohhhh usione mie mavazi tuuu lkn ninatabia nzuri "" sasa hii ningumu kwamwanamme kuelewa .


LABDA NIKUTHIBITISHIE ,,PRIMARY INSTA ATTRACTION YA MWANAMME KWA MWANAMKE HUWA NI MWONEKANO WA MWANAMKE KWANZA MENGINE NDO HUFUATA. UNLESS UNAVAA VIBAYA LKN ANAKUJUA TOKA ZAMAN KUA HUNA TABIA MBAYA
 
Kuna nguo fupi zingine ukivaa hauwezi kuonekana kama una tabia mbaya......so inategemea na huyo mtu ameamua kukuchukuliaje
 
Ngozi
 
mtoa mada tafuta unaevaa unavyotaka achana na wavaa uchi bidhaa zipo nyingi sokoni ni wewe tu kuchagua inayokufaa wapo wenzio wanapenda hizo swaga so pambana na hali yako.
 
Hahaaaaa hiyo pipi ya laki mbi inalingana na Komo la mkulu?
Kwani ww wataka mahali Sh ngap
hahahahahahah Mondray,

I salute you naona umenichoka lol, laki mbili za pipi siku hizi

teh teh

but you made my day
 
Hahaaaaa hiyo pipi ya laki mbi inalingana na Komo la mkulu?
Kwani ww wataka mahali Sh ngap
kuliko laki mbili nichukue tu bure aiseee,

hiyo hata haimtoshi mzee kunywa mbege week moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…