Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,904
Kwa kijana ukicheza na maisha sasa maana yake unacheza na future yakoMaisha yajawahi kuwa sawa kwa kila binadamu. Ishi vile unavyoweza, mengine yaache kama yalivyo
Kwa kijana ukicheza na maisha sasa maana yake unacheza na future yakoMaisha yajawahi kuwa sawa kwa kila binadamu. Ishi vile unavyoweza, mengine yaache kama yalivyo
Future tena? kuna mtu hupanga future yake hapa duniani? mbona kama kuna maneno watu wanatumia kwa mazoea.Kwa kijana ukicheza na maisha sasa maana yake unacheza na future yako
💯🤝uzi umepiga watu kwenye mshono
wanapoteza pesa kwa ulimbukeni wa nyuchi
anachokipata in return ni starehe ya kukojoa ya dk kadhaa na kopo safi la ARV
Kuna wakati ni muhimu sana vijana kukumbushana kwa nyuzi kama hiziuzi umepiga watu kwenye mshono
wanapoteza pesa kwa ulimbukeni wa nyuchi
anachokipata in return ni starehe ya kukojoa ya dk kadhaa na kopo safi la ARV
Tunashauriana na kukumbushana mwenye kuuchukua ushauri auchukue mwenye kuupuuzia apuuze.Acha vijana watumie mda kufanya kile ambacho wanafanya(kikubwa kusiwepo na majuto huko mbeleni)
watakuambia ndiyo uanaume (urijali) huoKuna wakati ni muhimu sana vijana kukumbushana kwa nyuzi kama hizi
Ulimbukeni wa mbususu unawacost wengi sana
Experience makes a person better or bitterwatakuambia ndiyo uanaume (urijali) huo
mda unaenda haurudi nyuma kamwe
ni kweli kabisa maana kimsingi mambo yanabadilika sana, taswira ya miaka 15 iliyopita ni tofauti kabisa na sasa hivi.Vijana wanawekeza sana pesa zao kwenye mademu na anasa vitu ambavyo havina return on investment
Ila muda ni mwalimu mzuri sana
Life lesson we learn too late; Time passes much more quickly than you realize
maisha pia hayapo kama vile unavyofikiria, endelea kupoteza muda.Maisha siyo rahisi kama vile unavyofikiria na unavyowaza.
Ishi yale unayoweza kuishi mengine yaache kama yalivyo. Serikali yako yenyewe tangu mwaka 1961 mpaka 2023 lakini kuna vijijini imeshindwa hata kujenga barabara
Tutakuwa na wazee masikini sana miaka ijayo vijana hawataki kufanya serving.Tutakuwa na wazee masikini sana miaka ijayo vijana hawataki kufanya serving kidogo anachopata wao wanaona bora pombe na mademu japo maisha ni hard kuyawini ccm inazidi kutengeneza kundi kubwa la wanyonge ili iendelee kutawala milele
nakazia mkuuAchana kabisa na hizi mambo za kuhudumia. Epuka sana manzi anayekugeuza wewe ndio kama baba yake au sponsor wake
Utakuta kijana ana mademu watatu na wote anahudumia unafikiri ni pesa kadiri gani anapoteza. Kwa nini uumgharamie mwanamke ambaye hauna future naye?
Kama kijana bado unajitafuta piga tu hit and run au nunua malaya wale wasafi ujilie usepe au uwe unamega kisela
[emoji23][emoji23] hii dunia ina watu.Future tena? kuna mtu hupanga future yake hapa duniani? mbona kama kuna maneno watu wanatumia kwa mazoea.
Future ni nini na ni lini? mwanadamu anajua maisha yake ya leo tu,na haya maisha ya leo hayana uhusiano na kesho yake.Ingekuwa mwanadamu anaweza kupanga hiyo future leo hii tusingekuwa katika madaraja tuliyopo sasa.
Acha vijana watumie mda kufanya kile ambacho wanafanya(kikubwa kusiwepo na majuto huko mbeleni)