Akili za vijana zinazidi kuteketea

Akili za vijana zinazidi kuteketea

uzi umepiga watu kwenye mshono
wanapoteza pesa kwa ulimbukeni wa nyuchi
anachokipata in return ni starehe ya kukojoa ya dk kadhaa na kopo safi la ARV
Hamna mtu aliyefaidika kwa kuzikwa na viungo vyote vikiwa in good working condition.

Vijana tusake hela tuzichakate hizi mbususu kwa maana ni tamu sanaaaaa. Nyeto has been and will continue to be a poor substitute ya mbususu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Future tena? kuna mtu hupanga future yake hapa duniani? mbona kama kuna maneno watu wanatumia kwa mazoea.

Future ni nini na ni lini? mwanadamu anajua maisha yake ya leo tu,na haya maisha ya leo hayana uhusiano na kesho yake.Ingekuwa mwanadamu anaweza kupanga hiyo future leo hii tusingekuwa katika madaraja tuliyopo sasa.

Acha vijana watumie mda kufanya kile ambacho wanafanya(kikubwa kusiwepo na majuto huko mbeleni)
Umesema "huko mbeleni" ndo future tunayo onywa io
 
Vijana sasa hivi wimbo wa taifa ni ngono, Ngono imekuwa na mvuto kiasi kwamba inatawala kila kitu. Naizungumzia ngono isiyo rasmi maana tusichanganye hapa, nazungumzia uasherati na uzinzi na wala siyo tendo la ndoa, nafikir nimeeleweka.

Nimezungumzia vijana lakini hasa nalenga jinsia me, jinsia ke hawa downfall yao inatokana na madhaifu yao, wanadanganywa sana. Hawashtuki na kesi za singo maza ndo zinazidi kuwa nyingi.

Anyway kwenye hii kitu ngono sasa....

kwenye hii kitu kwa sasa ni kama dimbwi la matope yenye kina kirefu ambacho vijana sasa ni kama tumebakiza kichwa ili iwe ndo kwisha habari yetu. Tukigawa hali za kimaisha kuna wale wa daraja la katikati(maana walio wengi tunaanzia hapa) hawa unakuta familia ina foundation, yaani baba alipambana akiwa kijana, ili kesho ya kizazi chake iwe brightest(but what wonder the most, it ended different)

Na kuna hawa wakina sisi wa daraja la chini ambao wazee wetu walifeli kwa namna mbalimbali ikiwemo either waliona shule ni kama kinyesi, kuendekeza ngono au kuchezea shilingi chooni, hawa mara nyingi hupanda mbegu penye miiba, miamba na pende madimbwi, mahala ambapo hapawezi kuotesha mazao. Ni mara chache sana mbegu huangukia kwenye udongo mzuri.

Sasa kimsingi ni kwamba sote ni vijana na sote ni wahanga wa hili jinamizi ngono linalotuandama. Lazima tujue sisi ni akina nani, na tuna malengo gani, Lazima pia tujue kuwa taswira ya maisha ya kesho itatokana na nguvu yetu sisi vijana, nguvu ya kupambania mambo yenye tija na kuachana mambo yenye kubomoa.

Sasa hivi vijana kauli mbiu yetu ni kutafuta pesa, lakini ni kwaajili ya kuvuna mademu wakali eti demu flani amenikataa kwasababu sina pesa so nitafute pesa ili nije nimiliki demu mkali, by the time kichupa kinajaa nimepata pesa kidogo, nifanyeje? Unaona hapo shida ni malengo tunayojiwekea sisi vijana.

Sasa unajiuliza mademu wakali ni liability au ni Asset? kama ni liability kwann ujiwekee malengo ya kumiliki liability? sio kwamba nasema vijana tusioe! Au tusimiliki wanawake! no maana yangu ni kwamba muda ni kitu muhimu for what we are passing through, time is everything guys, we are wasting our time doing nothing.

Imagine baba yako anamiliki nyumba moja, wew unakuja kumiliki kitanda, sofa, na tv in your whole life(what a shame) yaani pesa yako ilikuwa ni mitungi na mademu yaani dah, na wanawake sasa hivi wamegundua, wanajua tunapenda matako, so wanayavalia nguo za kuyaonyesha ili tutamani tuwapelekee hela, after few seconds iwe ni regret, its going down like this my dear friends, let us change.

Rai yangu: VIJANA TUBADILIKE, VIJANA TUBADILIKE,VIJANA TUBADILIKE
Hata vijana wazamani walikuwa kama sisi, sema ni utandawazi na kupoteza hulka ya kiume kwa walio wengi wetu ndio kunasababisha uzinzi unapigiwa chapuo hadharani.

Hao Wanawake tangu zamani walikuwa hivohivo asilimia kubwa, sema wanaume ndio tuliobadilika.

Gentleman never kiss and tell.... Imekuwa ngumu kwa vijana wengi.
 
Umesema "huko mbeleni" ndo future tunayo onywa io
kikubwa vijana waishi tu.Haya mambo yakuwatia wenge sijui future ndio nakataa.Future ina sura yake ambayo kila mtu hajui, lakini leo tunaijua na ndio maana vijana wanafanya wanachofanya.Wakubalini kwanza katika hili, pili waambie huu uamuzi ni sahihi kwa sasa lakini hatuna uhakika kama utakuwa sahihi siku zote
 
Vijana sasa hivi wimbo wa taifa ni ngono, Ngono imekuwa na mvuto kiasi kwamba inatawala kila kitu. Naizungumzia ngono isiyo rasmi maana tusichanganye hapa, nazungumzia uasherati na uzinzi na wala siyo tendo la ndoa, nafikir nimeeleweka.

Nimezungumzia vijana lakini hasa nalenga jinsia me, jinsia ke hawa downfall yao inatokana na madhaifu yao, wanadanganywa sana. Hawashtuki na kesi za singo maza ndo zinazidi kuwa nyingi.

Anyway kwenye hii kitu ngono sasa....

kwenye hii kitu kwa sasa ni kama dimbwi la matope yenye kina kirefu ambacho vijana sasa ni kama tumebakiza kichwa ili iwe ndo kwisha habari yetu. Tukigawa hali za kimaisha kuna wale wa daraja la katikati(maana walio wengi tunaanzia hapa) hawa unakuta familia ina foundation, yaani baba alipambana akiwa kijana, ili kesho ya kizazi chake iwe brightest(but what wonder the most, it ended different)

Na kuna hawa wakina sisi wa daraja la chini ambao wazee wetu walifeli kwa namna mbalimbali ikiwemo either waliona shule ni kama kinyesi, kuendekeza ngono au kuchezea shilingi chooni, hawa mara nyingi hupanda mbegu penye miiba, miamba na pende madimbwi, mahala ambapo hapawezi kuotesha mazao. Ni mara chache sana mbegu huangukia kwenye udongo mzuri.

Sasa kimsingi ni kwamba sote ni vijana na sote ni wahanga wa hili jinamizi ngono linalotuandama. Lazima tujue sisi ni akina nani, na tuna malengo gani, Lazima pia tujue kuwa taswira ya maisha ya kesho itatokana na nguvu yetu sisi vijana, nguvu ya kupambania mambo yenye tija na kuachana mambo yenye kubomoa.

Sasa hivi vijana kauli mbiu yetu ni kutafuta pesa, lakini ni kwaajili ya kuvuna mademu wakali eti demu flani amenikataa kwasababu sina pesa so nitafute pesa ili nije nimiliki demu mkali, by the time kichupa kinajaa nimepata pesa kidogo, nifanyeje? Unaona hapo shida ni malengo tunayojiwekea sisi vijana.

Sasa unajiuliza mademu wakali ni liability au ni Asset? kama ni liability kwann ujiwekee malengo ya kumiliki liability? sio kwamba nasema vijana tusioe! Au tusimiliki wanawake! no maana yangu ni kwamba muda ni kitu muhimu for what we are passing through, time is everything guys, we are wasting our time doing nothing.

Imagine baba yako anamiliki nyumba moja, wew unakuja kumiliki kitanda, sofa, na tv in your whole life(what a shame) yaani pesa yako ilikuwa ni mitungi na mademu yaani dah, na wanawake sasa hivi wamegundua, wanajua tunapenda matako, so wanayavalia nguo za kuyaonyesha ili tutamani tuwapelekee hela, after few seconds iwe ni regret, its going down like this my dear friends, let us change.

Rai yangu: VIJANA TUBADILIKE, VIJANA TUBADILIKE,VIJANA TUBADILIKE
Yakobo 4:4
[4]Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.

Ye adulterers and adulteresses, know ye not that the friendship of the world is enmity with God? whosoever therefore will be a friend of the world is the enemy of God.
 
Screenshot_20230626-103453_(1).png
 
Kwenye mtindo wa maisha hakuna kilichobadilika.Ata wazee walikua na maisha haya haya ya sasa ndo maana unaona hakuna starehe mpya.Kilichoongezeka ni hizi social media.na vijana wasasa wamepata ulimbukeni kiasi ambacho hawawezi kuzitumia kwa manufaa.mara nyingi hii mitandao inatumiwa kwapost maisha binafsi ya anasa ndo maana unaona hivyo tofauti na wazee wauko nyuma ambao kulikua hakuna hivyo vitu.Kuna mambo hayaepukiki.
 
😀😀😀😀pesa baba
Sabuni ya roho au sio.
Wacha vijana watumie hela kula warembo wakali.
Huyu sijui analalamika nimi anataka watu hela zao sijui wanunue magari na kuyapaki tuu? 🤣🤣🤣🤣
 
ni kweli kabisa maana kimsingi mambo yanabadilika sana, taswira ya miaka 15 iliyopita ni tofauti kabisa na sasa hivi.

maandalizi ya kesho nzuri kwa maisha ya sasa yanaweza chukua muda mwingi sana, kwasababu ya mabadiliko ya uchumi ya mwaka baada ya mwaka, lakini watu wanazidi kupoteza nyakati kwa mambo yanayowarudisha nyuma badala ya kuwasogeza mbele.
Umesema vyema
 
Back
Top Bottom