Akili za vijana zinazidi kuteketea

Akili za vijana zinazidi kuteketea

Hamna mtu aliyefaidika kwa kuzikwa na viungo vyote vikiwa in good working condition.

Vijana tusake hela tuzichakate hizi mbususu kwa maana ni tamu sanaaaaa. Nyeto has been and will continue to be a poor substitute ya mbususu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
zichakate mkuu, baadae tutakuja kukusaidia kulea binti zako[emoji12]
 
Hata vijana wazamani walikuwa kama sisi, sema ni utandawazi na kupoteza hulka ya kiume kwa walio wengi wetu ndio kunasababisha uzinzi unapigiwa chapuo hadharani.

Hao Wanawake tangu zamani walikuwa hivohivo asilimia kubwa, sema wanaume ndio tuliobadilika.

Gentleman never kiss and tell.... Imekuwa ngumu kwa vijana wengi.
mkuu haya mambo yamechachamaa sana siku hizi, sikusema haya mambo zamani hayakuwepo.
 
utunzaji wa papuchi unagharim Tsh ngap bana? halaf papuchi ukioga na kuiclean fresh + kupiga marashi, mbona unyama tu kwan lazima mshikaj acontribute? mshikaj atakuwa anacontribute lakini siyo iwe ndo responsibility yake.

halaf mna ndoto ya kuolewa na matajiri[emoji23] labda matajir wa mikunyenge minene[emoji23][emoji23][emoji23]
We endelea kuchungulia hela zako
 
sawa lakini ukweli lazima usemwe
Vijana wa Sasa wamekuwa hovyo Sana!! Wanataka kufanikiwa over night bila kusumbua akili,bila kufanya uzalishaji Mali!! Watafa mishemishe!! Hujipa matumaini kuwa one day yes!!! Siku zinayoyoma!! Wanaishi Kwa kujichuwa !!! Hahaaa akina mpwayungu!!!
 
kikubwa vijana waishi tu.Haya mambo yakuwatia wenge sijui future ndio nakataa.Future ina sura yake ambayo kila mtu hajui, lakini leo tunaijua na ndio maana vijana wanafanya wanachofanya.Wakubalini kwanza katika hili, pili waambie huu uamuzi ni sahihi kwa sasa lakini hatuna uhakika kama utakuwa sahihi siku zote
you'll never know the true value of moment until it becomes a memory. kesho zetu zinaandaliwa leo, haijalishi kwamba hatujui kama tutaiona kesho, lakin kikubwa ni kwamba tuna matumaini.

Kama tunaona taswira ya kesho yetu, itavurugwa na matendo ya leo yetu, tunatakiwa kufanya nini? kuendelea kuzingua au kubadilika na kuindaa kesho nzuri? ulichokiongea kina upande mmoja wa ukweli ambao, in the contrary it may be a regret ever.

ushauri wangu ni mzuri leo, kesho na hata milele.
 
Yakobo 4:4
[4]Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.

Ye adulterers and adulteresses, know ye not that the friendship of the world is enmity with God? whosoever therefore will be a friend of the world is the enemy of God.
Amen mtumishi asante kwa neno[emoji120]
 
Kwenye mtindo wa maisha hakuna kilichobadilika.Ata wazee walikua na maisha haya haya ya sasa ndo maana unaona hakuna starehe mpya.Kilichoongezeka ni hizi social media.na vijana wasasa wamepata ulimbukeni kiasi ambacho hawawezi kuzitumia kwa manufaa.mara nyingi hii mitandao inatumiwa kwapost maisha binafsi ya anasa ndo maana unaona hivyo tofauti na wazee wauko nyuma ambao kulikua hakuna hivyo vitu.Kuna mambo hayaepukiki.
unaweza kuniambia kwann sasa hivi idadi ya wanaoolewa inazidi kupungua badala ya kuongezeka? kwann waowaji wamepoteza matumaini kwenye swala la ndoa?
 
Analalamikia matumizi ya hela za watu ambao hakuwepo wakati wanazitafuta[emoji28][emoji28]
we endelea kusambaza utyamu[emoji39] dusko c unavuna bana, ila sasa hivi kuna kitu inaitwa vungutee[emoji16] so stress to come kitu itarudi kama mkono haujawah kupita[emoji3]

sisi acha tuendelee kuokoa vijana wenzetu.
 
We endelea kuchungulia hela zako
mim sichungulii hela zangu, mim nazizalisha zaidi na zaidi ili nifike ninapopataka. kwenye uzi wangu kuna kundi sijalihusisha, kama ulielewa kwann cjalihusisha, sikutegemea kuona comment ya namna hii.
 
Vijana wa Sasa wamekuwa hovyo Sana!! Wanataka kufanikiwa over night bila kusumbua akili,bila kufanya uzalishaji Mali!! Watafa mishemishe!! Hujipa matumaini kuwa one day yes!!! Siku zinayoyoma!! Wanaishi Kwa kujichuwa !!! Hahaaa akina mpwayungu!!!
na huko ndo tunapoenda, itafika kipindi huna pesa, hupati papuchi what next?........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kukirusha tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom