mwenye macho haambiwi onaPITIA HAPA
2 Timotheo 3:1-5
"Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi,wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema,wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu;
wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao."

Vijana sasa hivi wimbo wa taifa ni ngono, Ngono imekuwa na mvuto kiasi kwamba inatawala kila kitu. Naizungumzia ngono isiyo rasmi maana tusichanganye hapa, nazungumzia uasherati na uzinzi na wala siyo tendo la ndoa, nafikir nimeeleweka.
Nimezungumzia vijana lakini hasa nalenga jinsia me, jinsia ke hawa downfall yao inatokana na madhaifu yao, wanadanganywa sana. Hawashtuki na kesi za singo maza ndo zinazidi kuwa nyingi.
Anyway kwenye hii kitu ngono sasa....
kwenye hii kitu kwa sasa ni kama dimbwi la matope yenye kina kirefu ambacho vijana sasa ni kama tumebakiza kichwa ili iwe ndo kwisha habari yetu. Tukigawa hali za kimaisha kuna wale wa daraja la katikati(maana walio wengi tunaanzia hapa) hawa unakuta familia ina foundation, yaani baba alipambana akiwa kijana, ili kesho ya kizazi chake iwe brightest(but what wonder the most, it ended different)
Na kuna hawa wakina sisi wa daraja la chini ambao wazee wetu walifeli kwa namna mbalimbali ikiwemo either waliona shule ni kama kinyesi, kuendekeza ngono au kuchezea shilingi chooni, hawa mara nyingi hupanda mbegu penye miiba, miamba na pende madimbwi, mahala ambapo hapawezi kuotesha mazao. Ni mara chache sana mbegu huangukia kwenye udongo mzuri.
Sasa kimsingi ni kwamba sote ni vijana na sote ni wahanga wa hili jinamizi ngono linalotuandama. Lazima tujue sisi ni akina nani, na tuna malengo gani, Lazima pia tujue kuwa taswira ya maisha ya kesho itatokana na nguvu yetu sisi vijana, nguvu ya kupambania mambo yenye tija na kuachana mambo yenye kubomoa.
Sasa hivi vijana kauli mbiu yetu ni kutafuta pesa, lakini ni kwaajili ya kuvuna mademu wakalieti demu flani amenikataa kwasababu sina pesa so nitafute pesa ili nije nimiliki demu mkali, by the time kichupa kinajaa nimepata pesa kidogo, nifanyeje?
Unaona hapo shida ni malengo tunayojiwekea sisi vijana.
Sasa unajiuliza mademu wakali ni liability au ni Asset? kama ni liability kwann ujiwekee malengo ya kumiliki liability? sio kwamba nasema vijana tusioe! Au tusimiliki wanawake! no maana yangu ni kwamba muda ni kitu muhimu for what we are passing through, time is everything guys, we are wasting our time doing nothing.
Imagine baba yako anamiliki nyumba moja, wew unakuja kumiliki kitanda, sofa, na tv in your whole life(what a shame) yaani pesa yako ilikuwa ni mitungi na mademu yaani dah, na wanawake sasa hivi wamegundua, wanajua tunapenda matako, so wanayavalia nguo za kuyaonyesha ili tutamani tuwapelekee hela, after few seconds iwe ni regret, its going down like this my dear friends, let us change.
Rai yangu: VIJANA TUBADILIKE, VIJANA TUBADILIKE,VIJANA TUBADILIKE![]()
💯🤝muda ni kitu muhimu for what we are passing through, time is everything guys, we are wasting our time doing nothing.
Maisha siyo rahisi kama vile unavyofikiria na unavyowaza.Vijana sasa hivi wimbo wa taifa ni ngono, Ngono imekuwa na mvuto kiasi kwamba inatawala kila kitu. Naizungumzia ngono isiyo rasmi maana tusichanganye hapa, nazungumzia uasherati na uzinzi na wala siyo tendo la ndoa, nafikir nimeeleweka.
Nimezungumzia vijana lakini hasa nalenga jinsia me, jinsia ke hawa downfall yao inatokana na madhaifu yao, wanadanganywa sana. Hawashtuki na kesi za singo maza ndo zinazidi kuwa nyingi.
Anyway kwenye hii kitu ngono sasa....
kwenye hii kitu kwa sasa ni kama dimbwi la matope yenye kina kirefu ambacho vijana sasa ni kama tumebakiza kichwa ili iwe ndo kwisha habari yetu. Tukigawa hali za kimaisha kuna wale wa daraja la katikati(maana walio wengi tunaanzia hapa) hawa unakuta familia ina foundation, yaani baba alipambana akiwa kijana, ili kesho ya kizazi chake iwe brightest(but what wonder the most, it ended different)
Na kuna hawa wakina sisi wa daraja la chini ambao wazee wetu walifeli kwa namna mbalimbali ikiwemo either waliona shule ni kama kinyesi, kuendekeza ngono au kuchezea shilingi chooni, hawa mara nyingi hupanda mbegu penye miiba, miamba na pende madimbwi, mahala ambapo hapawezi kuotesha mazao. Ni mara chache sana mbegu huangukia kwenye udongo mzuri.
Sasa kimsingi ni kwamba sote ni vijana na sote ni wahanga wa hili jinamizi ngono linalotuandama. Lazima tujue sisi ni akina nani, na tuna malengo gani, Lazima pia tujue kuwa taswira ya maisha ya kesho itatokana na nguvu yetu sisi vijana, nguvu ya kupambania mambo yenye tija na kuachana mambo yenye kubomoa.
Sasa hivi vijana kauli mbiu yetu ni kutafuta pesa, lakini ni kwaajili ya kuvuna mademu wakalieti demu flani amenikataa kwasababu sina pesa so nitafute pesa ili nije nimiliki demu mkali, by the time kichupa kinajaa nimepata pesa kidogo, nifanyeje?
Unaona hapo shida ni malengo tunayojiwekea sisi vijana.
Sasa unajiuliza mademu wakali ni liability au ni Asset? kama ni liability kwann ujiwekee malengo ya kumiliki liability? sio kwamba nasema vijana tusioe! Au tusimiliki wanawake! no maana yangu ni kwamba muda ni kitu muhimu for what we are passing through, time is everything guys, we are wasting our time doing nothing.
Imagine baba yako anamiliki nyumba moja, wew unakuja kumiliki kitanda, sofa, na tv in your whole life(what a shame) yaani pesa yako ilikuwa ni mitungi na mademu yaani dah, na wanawake sasa hivi wamegundua, wanajua tunapenda matako, so wanayavalia nguo za kuyaonyesha ili tutamani tuwapelekee hela, after few seconds iwe ni regret, its going down like this my dear friends, let us change.
Rai yangu: VIJANA TUBADILIKE, VIJANA TUBADILIKE,VIJANA TUBADILIKE![]()
kwahiyo we mzee ulivokua kijana hukuhonga kabisa....Vijana wanawekeza sana pesa zao kwenye mademu na anasa vitu ambavyo havina return on investment
Ila muda ni mwalimu mzuri sana
Life lesson we learn too late; Time passes much more quickly than you realize
Maisha siyo rahisi kama vile unavyofikiria. Afrika ni nchi ambazo ni ngumu sana kuishi na kuendelea kiuchumi. Viwandani mpaka sasa, wanalipwa 6300 kwa siku, mshahara wa serikali ni laki 4 mpaka 5 kwa mwezi kwa wafanyakazi. Kama umetoboa ni jambo la kumshukuru Mungu na siyo kuwadharau wengine.Kuna watakao sema usitupangie maisha😂😂
Maisha yajawahi kuwa sawa kwa kila binadamu. Ishi vile unavyoweza, mengine yaache kama yalivyoVijana wanawekeza sana pesa zao kwenye mademu na anasa vitu ambavyo havina return on investment
Ila muda ni mwalimu mzuri sana
Life lesson we learn too late; Time passes much more quickly than you realize
Wewe haupendi matako?Vijana sasa hivi wimbo wa taifa ni ngono, Ngono imekuwa na mvuto kiasi kwamba inatawala kila kitu. Naizungumzia ngono isiyo rasmi maana tusichanganye hapa, nazungumzia uasherati na uzinzi na wala siyo tendo la ndoa, nafikir nimeeleweka.
Nimezungumzia vijana lakini hasa nalenga jinsia me, jinsia ke hawa downfall yao inatokana na madhaifu yao, wanadanganywa sana. Hawashtuki na kesi za singo maza ndo zinazidi kuwa nyingi.
Anyway kwenye hii kitu ngono sasa....
kwenye hii kitu kwa sasa ni kama dimbwi la matope yenye kina kirefu ambacho vijana sasa ni kama tumebakiza kichwa ili iwe ndo kwisha habari yetu. Tukigawa hali za kimaisha kuna wale wa daraja la katikati(maana walio wengi tunaanzia hapa) hawa unakuta familia ina foundation, yaani baba alipambana akiwa kijana, ili kesho ya kizazi chake iwe brightest(but what wonder the most, it ended different)
Na kuna hawa wakina sisi wa daraja la chini ambao wazee wetu walifeli kwa namna mbalimbali ikiwemo either waliona shule ni kama kinyesi, kuendekeza ngono au kuchezea shilingi chooni, hawa mara nyingi hupanda mbegu penye miiba, miamba na pende madimbwi, mahala ambapo hapawezi kuotesha mazao. Ni mara chache sana mbegu huangukia kwenye udongo mzuri.
Sasa kimsingi ni kwamba sote ni vijana na sote ni wahanga wa hili jinamizi ngono linalotuandama. Lazima tujue sisi ni akina nani, na tuna malengo gani, Lazima pia tujue kuwa taswira ya maisha ya kesho itatokana na nguvu yetu sisi vijana, nguvu ya kupambania mambo yenye tija na kuachana mambo yenye kubomoa.
Sasa hivi vijana kauli mbiu yetu ni kutafuta pesa, lakini ni kwaajili ya kuvuna mademu wakalieti demu flani amenikataa kwasababu sina pesa so nitafute pesa ili nije nimiliki demu mkali, by the time kichupa kinajaa nimepata pesa kidogo, nifanyeje?
Unaona hapo shida ni malengo tunayojiwekea sisi vijana.
Sasa unajiuliza mademu wakali ni liability au ni Asset? kama ni liability kwann ujiwekee malengo ya kumiliki liability? sio kwamba nasema vijana tusioe! Au tusimiliki wanawake! no maana yangu ni kwamba muda ni kitu muhimu for what we are passing through, time is everything guys, we are wasting our time doing nothing.
Imagine baba yako anamiliki nyumba moja, wew unakuja kumiliki kitanda, sofa, na tv in your whole life(what a shame) yaani pesa yako ilikuwa ni mitungi na mademu yaani dah, na wanawake sasa hivi wamegundua, wanajua tunapenda matako, so wanayavalia nguo za kuyaonyesha ili tutamani tuwapelekee hela, after few seconds iwe ni regret, its going down like this my dear friends, let us change.
Rai yangu: VIJANA TUBADILIKE, VIJANA TUBADILIKE,VIJANA TUBADILIKE![]()
Achana kabisa na hizi mambo za kuhudumia. Epuka sana manzi anayekugeuza wewe ndio kama baba yake au sponsor wakekwahiyo we mzee ulivokua kijana hukuhonga kabisa....
hebu nishauri kijana hapa nakaribia kuingiza 20 soon