Ana matatizo huyo.Analalamikia matumizi ya hela za watu ambao hakuwepo wakati wanazitafuta😅😅
Mie bwana nachojua ni kwamba ukiona jamaa anageheda mademu wengi ujue ana hela. Wacha aburudike maana anazipata kwa tabu sana. Ndio maana inatuuma sana unatumannauli alafu mwanamke hatokei