Akili yangu ya usiku imewaza hili

Akili yangu ya usiku imewaza hili

Prince Akeem

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
886
Reaction score
382
Inakuwaje mshkaji wako anasema hana demu, afu anasema huwa hapigi nyeto wala haendi kununua makahaba. Kwa jinsi navyojua mwanaume unakuwa unatamani sana na huwez kukaa week bila kutamani hata uwe busy zaidi ya busy yenyewe. Labda kuna mwanaume anaweza kuzuia hamu ya kugegeda kwa mwezi .

Kama mtu anajua naomba aniambie ni kwa muda gani mwanaume rijali unaweza kukaa bila kutamani kugegeda .

MAANA NACHUKIA MWANAUME ANAYESEMA HAFAGILII MADEMU KABISA NA HAWAPENDI NA WAKATI ANAPIGA NYETO KWA PICHA YA DEMU.
 
Inakuwaje mshkaji wako anasema hana demu, afu anasema huwa hapigi nyeto wala haendi kununua makahaba. Kwa jinsi navyojua mwanaume unakuwa unatamani sana na huwez kukaa week bila kutamani hata uwe busy zaidi ya busy yenyewe.
Labda kuna mwanaume anaweza kuzuia hamu ya kugegeda kwa mwezi .
kama mtu anajua naomba aniambie ni kwa muda gani mwanaume rijali unaweza kukaa bila kutamani kugegeda .
MAANA NACHUKIA MWANAUME ANAYESEMA HAFAGILII MADEMU KABISA NA HAWAPENDI NA WAKATI ANAPIGA NYETO KWA PICHA YA DEMU.

Umewahi kusikia kauli hizi? " Mume wangu hatosheki kitandani.." "..Sidhani kufanya mapenzi ndio liwe jambo la msingi lakini huyu mwanaume kaa! Basi tu kila siku mpaka kero.."
Bila shaka ni kilio cha wanawake wachache walioamua kusema. Hivi kweli ni mara ngapi au kiasi gani tuseme inatosha? Je wanaume wanafanya makusudi? Je kuna uwezekano wakabadilika?

Katika mapenzi, suala la kumtaka mwenza kimapenzi hutegemea sababu nyingi, chache ni uwezo wa kiafya, utayari wa kihisia, usalama wa kazini na mengineyo. Japokuwa jinsia zote huwa na kiu ya mapenzi lakini wanaume huwa ni zaidi.

Daktari David Reuben anasema kuwa ".. Wanaume wengi huzungukia ktk mzunguko wa saa 48 yaani huhitaji kukutana kimwili kila baada ya saa 48 ili wawe ktk hali njema ya kimwili na kiakili..."
Nae Daktari na mwandishi Dr Herbert Miles anasema ".. Mwanaume mwenye afya njema mbegu hujaa kila baada ya saa 42 hadi 78 na kuzalisha nguvu kali inayohitaji zitolewe.."

Pia mwanasayansi Alan Frome anasema kuwa '.. Wanaume wanaonekana kuwa na njaa ya kukutana kimwili kwa sababu ya maumbile ambapo prostate gland ina kifuko kidogo kitunzacho mbegu, na kijaapo, mwanaume huhitaji kuzitoa, presha huzidi zaidi na zikitoka hurudi ktk hali yake ya kawaida.."

UPANDE WA WANAWAKE

Wanawake hutofautiana kabisaa na wanaume hali kadhalika na wao kwa wao. Kwa mujibu wa utafiti wa Johnson Masters 2010, kwa wastani 20-25% ya wanawake huwa na mtazamo hasi au vuguvugu ktk kuhitaji kukutana kimwili.
2% hawajali kabisa kuhusu kukutana kimwili.
25% zaidi huhitaji sana, husaka kukutana kimwili na huanzisha hitaji hili hata kabla ya mwanaume kusema.
50% iliyobaki huwa na uhitaji wa wastani tu.

Ifahamike pia hasa kwa wanaume kuwa, hali ya mwanamke hubadilika sana ktk kuhitaji tendo la ndoa ktk kipindi cha mzunguko wa siku zake.
Lakini mwanamke anapofikia miaka 40+ hitaji la kukutana kimwili hulingana karibu na lile la mwanaume

NINI KIFANYIKE
Wanaume ambao hawajaoa wanapaswa wajike sana ktk shughuli za uzalishaji mali zinazochosha mwili au mazoezi na kuepuka mambo yanayochochea hisia za mapenzi hapo wataishinda saa ya 48, Walio ktk ndoa wawe na utaratibu unaokubaliana na hali ya mwanamke na wajenge mazoea ya kufanya romansi sana ili kuendana na mabadiliko ya mwanaume na kuepusha utumwa wa ngono ndani ya ndoa au kukimbilia nje ya ndoa hali inayoleta magonjwa, kutelekeza familia na mengineyo yasiyoleta furaha ya familia

umenena vyema..kuna doctor mwingine aliwahi kusema mkihisi maumivu ya kichwa dawa ni kufanya mapenz.na.yanapotea kabisaa..


asilimia 30 tu ya wanawake ndo hufurahi tendo la ndoa,takwimu zinasema hivyo lakini nimekuja kujiridhisha mwenyewe kwamba asilimia 70 zilizobaki za wanawake kutofika kileleni asilimia 50 zinachangikwa na wanawake wenyewe kutokuwa was wazi kwa wenza wao na pia kutokuwa na ushirikiano kwa wenza wao wakati wa tendo,yaani mtu akishavua ndo kamaliza hafinyi kingine chochote,utafikiri unambaka.

So kwa hizo kesi 20 ulizokumbana nazo binafsi sishangai na hata hiyo scenario ya demu wako pia siishangai ndo maana kwa hali hii michepuko inaendelea kuwepo mi naamini kama wenza wote wakishiriki ipasvyo tendo kila mtu akaplay part yake mnaweza mkaa hata wiki nzima bila ya kutamanian ile serious..


Himidini huo mzuka wa kungonoka mi nnao hasaaaaa! Tena nahisi hayo masaa 48 ni mengi sana! Sijui ni ujana au ndio nazeeka au ni pepo tu!!!!!
...
Self control kweli ni muhimu, but mjini hapa hakuna hata mashamba tukashtua kwa jembe! Mazoezi yanachosha sana, basi tu!!!!



kijana... jisomee maoni ya magwiji sasa!!

credit to: Himidini.. Eiyer .. Mashaxizo .. ameline.. na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Kwani kuna sehemu imeandikwa kugegeda lazima? Au hujui kuwa mapadri hawafanyagi hayo mavitu? (Japo kuna wachache wanakiuka maadili)
 
huwezi kukaa bila kugegeda. usipokuwa unatumia sehemu husika kutoa hamu basi utakuwa uanatumia mkono
 
Mapenzi ni Sehemu ya Maisha na ni dawa Kama asemavyo meanasaikolojia sigmoid freud. Ingawa demi wangu hanipagi nikatosheka anasema hadi ndoa mi nachepuka tu....natumia condoms
 
Mapenzi ni Sehemu ya Maisha na ni dawa Kama asemavyo meanasaikolojia sigmoid freud. Ingawa demi wangu hanipagi nikatosheka anasema hadi ndoa mi nachepuka tu....natumia condoms

haha. najua hata wale wanaosema tukae njia kuu wanatafuta hela za uhamasishaji tuu. huwez kaa njia kuu na wakati unatamani kila akipita mwanamke mzuri
 
Back
Top Bottom