Akili yangu imetekwa na kamari

Akili yangu imetekwa na kamari

neda UTT weka hela huko utakuwa unakuza mtaji kwa njia ya kurusha kwa kutumia mitandao ya simu. itakusaidia kutokukaa na fedha taslimu hivyo itakuepusha na kishawishi cha kucheza kamali.

pia epuka mazingira/marafiki wanaokushawishi kucheza kamali
Sahihi mkuu
 
Kipindi napiga roulette hizi ndio zilikua pigo zangu haha [emoji1]
Screenshot_20220216-165330_Photos.jpg
Screenshot_20220216-165353_Photos.jpg
Screenshot_20220216-165418_Photos.jpg
 
Hivi we binti tangu tuondokewe na kiongozi wa nchi na wewe uliamua kupotea? Au mambo yako yameanza kueudi kama zamani kabla ya mtu mtu kutoka chato😅
Huyu aliitekeleza ID baada ya wadau kumjia juu kuhusu issue za utapeli. Akapotea jumla jumla.
 
Asee hii sikuipata alitapeli watu?
Kuna uzi mmoja alionekana kana kwamba anawasapoti matapeli na kuwakandia waliotapeliwa wanaokuja kulalamika humu......ndipo watu wakaanza kufukua makaburi yake. Tokea hapo aliitelekeza hiyo ID.
 
Naona namba 14, 12 ,11 zimetegeshewa mtego zinasubiria spinning
Hapo namba yenye pesa kubwa ni namba 15 niliipiga vibaya,halafu ikarudi na 12 na yenyewe ikapigwa
 
Poleni na hekaheka za campaign wana JF.

Moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni mwathirika wa kamari, nacheza mchezo wa roulette kwa sana kuanzia cassino na popote napokutana na hilo dude.

Nimeajiriwa na kipato changu si haba maana nikichukua mshahara wangu pamoja na ganji nazopata kazini nina uhakika wa kutengeneza zaidi ya milion 5 kwa mwezi. Maana nina uwezo wa kupata kati ya 50,000 hadi laki 300,000 kwa siku hapa inategemea na hali ya siku yenyewe na hii ni pamoja na uchumi wa anko Magu kuwa hivi.

Pamoja na pesa zote hizo pesa pekee nayoweza kuiweka kwenye account ni kati ya laki 5 na m1 tu zingne zote naliwa kwenye ulaibu huu.

Hivyo nikikaaa bila kwenda kwenye kamari miezi 3 hua nafanya maendeleo makubwa.

Bahati mbaya pesa zote hizi zinaishia kwenye kucheza kamari.

Nimejitahidi kujaribu kuacha wapi,nimetembelea wataalamu wa psychology lakini sijaona mafanikio

Nashukuru nimejenga nyumba nzuri ya ndoto yangu pia usafiri wa haja ninao.

Nasikitika kwamba naweza kuwa na m1 asubuhi usiku sina hata pesa ya kuweka mafuta asubuhi.

Binafsi ninapambana kuacha hii kitu lakini sijui nianzie wapi kuacha.

Nishatangaza dau hata kwa mtu anaeweza nisaidia kuacha kamari lakini hakuna msaada.

Natamani nihamie mikoa ambayo hakuna haya madude bahati mbaya kazi yangu haina tawi kwa ofisi nayofanyia kazi.

Ukweli huwa naweza kushinda pesa kubwa tu kwenye hii kamari hata m10 kwa siku lakini inakuchukua hata siku 5 unapewa kipigo tena!

Mnaweza kunipa mawazo yenu wana jukwaa?

Nawasilisha.
Nipe milioni 4 niwe nakutunzia kila mwezi wewe ubaki na milioni 1. Nakuhakikishia hutaingia chumba cha kamari. Fanya hivyo utakuja kunishukuru baadae.
 
Mungu akuepushe na pepo la kamari ni ugonjwa mbaya sana ulishanikumba nikateketeza pesa vibaya sana. Acha tafuta kitu cha kufanya.
Uliwezaje kuacha kamari kaka naweza kupata mawasiliano yako mkuu tukashaurianaa
 
Poleni na hekaheka za campaign wana JF.

Moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni mwathirika wa kamari, nacheza mchezo wa roulette kwa sana kuanzia cassino na popote napokutana na hilo dude.

Nimeajiriwa na kipato changu si haba maana nikichukua mshahara wangu pamoja na ganji nazopata kazini nina uhakika wa kutengeneza zaidi ya milion 5 kwa mwezi. Maana nina uwezo wa kupata kati ya 50,000 hadi laki 300,000 kwa siku hapa inategemea na hali ya siku yenyewe na hii ni pamoja na uchumi wa anko Magu kuwa hivi.

Pamoja na pesa zote hizo pesa pekee nayoweza kuiweka kwenye account ni kati ya laki 5 na m1 tu zingne zote naliwa kwenye ulaibu huu.

Hivyo nikikaaa bila kwenda kwenye kamari miezi 3 hua nafanya maendeleo makubwa.

Bahati mbaya pesa zote hizi zinaishia kwenye kucheza kamari.

Nimejitahidi kujaribu kuacha wapi,nimetembelea wataalamu wa psychology lakini sijaona mafanikio

Nashukuru nimejenga nyumba nzuri ya ndoto yangu pia usafiri wa haja ninao.

Nasikitika kwamba naweza kuwa na m1 asubuhi usiku sina hata pesa ya kuweka mafuta asubuhi.

Binafsi ninapambana kuacha hii kitu lakini sijui nianzie wapi kuacha.

Nishatangaza dau hata kwa mtu anaeweza nisaidia kuacha kamari lakini hakuna msaada.

Natamani nihamie mikoa ambayo hakuna haya madude bahati mbaya kazi yangu haina tawi kwa ofisi nayofanyia kazi.

Ukweli huwa naweza kushinda pesa kubwa tu kwenye hii kamari hata m10 kwa siku lakini inakuchukua hata siku 5 unapewa kipigo tena!

Mnaweza kunipa mawazo yenu wana jukwaa?

Nawasilisha.
Haya madude yapo kote hadi vijijini
 
Back
Top Bottom