Akili yangu imetekwa na kamari

Jamani Mimi nimepata uraibu was Jamii forums...Khaaaaa

Ntabidi ni toe hii app kwa simu.
 
Ukiwa mcheza kamari nyota ya fedha inakufuata. Mimi mwenyewe ni mcheza kamari mzuri. Naliwa sana ila naona nyota ya pesa imeongezeka kwangu. Ukiacha kuna uwezekano pesa isipite tena mikononi mwako. Ishi hivyohivyo.
Mkuuu Hi nyota yakupata pesa..alafu inapukutika ndo unayoifurahia? Wazimu huu
 
Mkuuu Hi nyota yakupata pesa..alafu inapukutika ndo unayoifurahia? Wazimu huu
Mimi kamari ndio iliyonipelekea kujenga na kununua usafiri. Naliwa sana ila napata fedha nyingi karibu kila siku. Mshahara wangu ni mdogo ila napata mpunga kwa mishemishe kila day
 
Mimi kamari ndio iliyonipelekea kujenga na kununua usafiri. Naliwa sana ila napata fedha nyingi karibu kila siku. Mshahara wangu ni mdogo ila napata mpunga kwa mishemishe kila day
Sijui Sana kamari... Ila sitaki hata kujua. Kila la kheri mkuu
 
Ukiona ivyo ujue iyo milioni tano ni ndogo kwaajili ya kufanya mambo yako pambana uwe unapata zaidi ya iyo ili hata ikitokea umepoteza kwenye kamari usiumie sababu unayo zaidi ya iyo. Uyo ni wewe kuacha ni kujikataa/kutokujikubali so usiache....
 
Haijakuuma hiyo pesa, ikikuuma utatoka mwenyewe. Endelea hadi ikuume! Wabongo bwana, tuna mindset za ajabu. Kuwa na gari na nyumba nzuri ndo unahis umemaliza.

Sasa kuna nini cha ziada ? Hapo mie naona alichotakiwa kuongeza ni kwamba una hela ya kubadilisha papuchi kila wikend
 
pole sana Brother, fahamu kuwa tayari umesha nasa pepo la kamari. Tafuta msaada kwa Watu wa kiroho zaidi.
Pepo la kamari, ni Sawa na pepo la ulevi, ngono, na masturbation. Hawa pepo ni wabaya sana ;huwezi kuondokana nao kirahisi. Tafuta msaada . Kama wewe ni Mkristo, nenda kwa waombeaji Kanisani.
 
Mkuu akifanya forex trading kumbuka lazima atajifunza mbinu ambazo ndio pamoja na kuzuia greed yake yaan sijui unaipata point yangu ni kwamba ukiwa unatrade kuna namna flani trading ina shape maisha yako in a good way ili utengeneze pesa huko lazima kufuata hizo rules ambazo automatically zitambadilisha.
Ontario mwenyewe aliyewafundisha vijana hizo mambo za forex humu JF hua anapunwa mpk anarudi kupanga kwny hostel za wanafunzi kodi elfu sitini kwa mwezi.
 
pole sana Brother, fahamu kuwa tayari umesha nasa pepo la kamari. Tafuta msaada kwa Watu wa kiroho zaidi.
Pepo la kamari, ni Sawa na pepo la ulevi, ngono, na masturbation. Hawa pepo ni wabaya sana ;huwezi kuondokana nao kirahisi. Tafuta msaada . Kama wewe ni Mkristo, nenda kwa waombeaji Kanisani.
Basi Tz hii vijana na wazee kwa 90% wana pepo la kupiga puli.
 
Tuendelee kutafuta hela kwa nguvu,R.Mengi Casino alikuaga anakuwepo sana tu akicheza hizo mambo lkn since alikua njema hamna mtu atasema alikua na pepo.

Ila jichanganye wewe mchimba chumvi kujieleza kwa watu khs addiction yako ya kamari utaambiwa hilo ni pepo la hatari sana likemeweeeeeee.
 
Roulette , craps, baccarats,black jack, slots, keno na poker ni michezo ya hatari sana na ina addiction kubwa sana ...katika uraibu (addiction) ogopa sana kichocheo chenye kuleta msisimko kwa muda mfupi sana na kisha kutoweka....mfano cocaine au heroin..ukitumia sasa hv unasikia raha ya ajabu ila ikipungua tu unaanza kupata arosto unarudi tena kutumia ndio sawa na hizo casino games...win/lossing ni matter ya dakika chache mno..umekula au umeliwa..hii inaleta msisimko wa kuendelea kuicheza michezo hii, kumbe ndio unazidi kutumbukia kwenye uraibu na mbaya zaidi ukiingia online au katika casino halisi huwa huwezi kushika pesa taslimu mkononi wakati wa kucheza..pesa zako zinabadilishwa na kuwa katika mfumo wa kete , so milioni inaweza ikawa ni kete 10 au 20 ..so huoni value ya pesa wakati wa kuzicheza na pia unakuta mtu akiliwa huwa hawezi kukubali kuondoka atataka apambane kurudisha pesa yake hapa ndipo anapozidi kuliwa.

Kuacha michezo hii michafu ni mpaka uwe na strong will..uazimie kweli kubadilika
 
Nina karibu miaka 2 sasa sijacheza kamari ,pengne naenda vizuri!
 
Nina karibu miaka 2 sasa sijacheza kamari ,pengne naenda vizuri!
Hongera kama umefanikiwa kuacha kweli aisee...mi hii kitu imenisumbua sana sitaki hata kuisikia.Kama roulette sijui strategy gani siijui...unacheza unakula vizuri halafu mashine linaanza kugeuka na kula pesa zako zote
 
Poleni na hekaheka za campaign wana JF.

Moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni mwathirika wa kamari, nacheza mchezo wa roulette kwa sana kuanzia cassino na popote napokutana na hilo dude.

Nimeajiriwa na kipato changu si haba maana nikichukua mshahara wangu pamoja na ganji nazopata kazini nina uhakika wa kutengeneza zaidi ya milion 5 kwa mwezi. Maana nina uwezo wa kupata kati ya 50,000 hadi laki 300,000 kwa siku hapa inategemea na hali ya siku yenyewe na hii ni pamoja na uchumi wa anko Magu kuwa hivi.

Pamoja na pesa zote hizo pesa pekee nayoweza kuiweka kwenye account ni kati ya laki 5 na m1 tu zingne zote naliwa kwenye ulaibu huu.

Hivyo nikikaaa bila kwenda kwenye kamari miezi 3 hua nafanya maendeleo makubwa.

Bahati mbaya pesa zote hizi zinaishia kwenye kucheza kamari.

Nimejitahidi kujaribu kuacha wapi,nimetembelea wataalamu wa psychology lakini sijaona mafanikio

Nashukuru nimejenga nyumba nzuri ya ndoto yangu pia usafiri wa haja ninao.

Nasikitika kwamba naweza kuwa na m1 asubuhi usiku sina hata pesa ya kuweka mafuta asubuhi.

Binafsi ninapambana kuacha hii kitu lakini sijui nianzie wapi kuacha.

Nishatangaza dau hata kwa mtu anaeweza nisaidia kuacha kamari lakini hakuna msaada.

Natamani nihamie mikoa ambayo hakuna haya madude bahati mbaya kazi yangu haina tawi kwa ofisi nayofanyia kazi.

Ukweli huwa naweza kushinda pesa kubwa tu kwenye hii kamari hata m10 kwa siku lakini inakuchukua hata siku 5 unapewa kipigo tena!

Mnaweza kunipa mawazo yenu wana jukwaa?

Nawasilisha.
Unaweza liwa tigo ucheze kamari una akili timamu kweli?!!!! acha tamaa
 
neda UTT weka hela huko utakuwa unakuza mtaji kwa njia ya kurusha kwa kutumia mitandao ya simu. itakusaidia kutokukaa na fedha taslimu hivyo itakuepusha na kishawishi cha kucheza kamali.

pia epuka mazingira/marafiki wanaokushawishi kucheza kamali
 
Back
Top Bottom