Akili yangu imetekwa na kamari

Akili yangu imetekwa na kamari

mkuuuu pole sana beti mpira,kila siku najitolea bule kukutengenezea od ya 1.10 ili ushinde laki kila siku
Mkuu unatumia bet company ili.? Na ni mtaji wa sh ngapi kila siku nilaze faida ya laki?
 
Poleni na hekaheka za campaign wana JF.

Moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni mwathirika wa kamari, nacheza mchezo wa roulette kwa sana kuanzia cassino na popote napokutana na hilo dude.

Nimeajiriwa na kipato changu si haba maana nikichukua mshahara wangu pamoja na ganji nazopata kazini nina uhakika wa kutengeneza zaidi ya milion 5 kwa mwezi. Maana nina uwezo wa kupata kati ya 50,000 hadi laki 300,000 kwa siku hapa inategemea na hali ya siku yenyewe na hii ni pamoja na uchumi wa anko Magu kuwa hivi.

Pamoja na pesa zote hizo pesa pekee nayoweza kuiweka kwenye account ni kati ya laki 5 na m1 tu zingne zote naliwa kwenye ulaibu huu.

Hivyo nikikaaa bila kwenda kwenye kamari miezi 3 hua nafanya maendeleo makubwa.

Bahati mbaya pesa zote hizi zinaishia kwenye kucheza kamari.

Nimejitahidi kujaribu kuacha wapi,nimetembelea wataalamu wa psychology lakini sijaona mafanikio

Nashukuru nimejenga nyumba nzuri ya ndoto yangu pia usafiri wa haja ninao.

Nasikitika kwamba naweza kuwa na m1 asubuhi usiku sina hata pesa ya kuweka mafuta asubuhi.

Binafsi ninapambana kuacha hii kitu lakini sijui nianzie wapi kuacha.

Nishatangaza dau hata kwa mtu anaeweza nisaidia kuacha kamari lakini hakuna msaada.

Natamani nihamie mikoa ambayo hakuna haya madude bahati mbaya kazi yangu haina tawi kwa ofisi nayofanyia kazi.

Ukweli huwa naweza kushinda pesa kubwa tu kwenye hii kamari hata m10 kwa siku lakini inakuchukua hata siku 5 unapewa kipigo tena!

Mnaweza kunipa mawazo yenu wana jukwaa?

Nawasilisha.
Mungu akuepushe na pepo la kamari ni ugonjwa mbaya sana ulishanikumba nikateketeza pesa vibaya sana. Acha tafuta kitu cha kufanya.
 
Mkuuu MIMI NABET FOOTBALL
LIMIT NI MWISHO STAKE 100K
KWA SIKU SIVUKI 100K
NASUKA ODDS 3-5
DAILY MKEKA MMOJA
sijawahi cheza kamari, ya GULUGULU,sijui hizo rullete,keno,Wala live games..Nakushari usipende kwenda casino Wala kucheza live games...
Kwanza zinakula MDA na URAIBU EAKE NI MKUBWA SANA..
 
Kwenye muda ndio mbaya zaidi.
 
Aisee,umemua kuja kutucheka wasiokuwa na ajira eti .Ila kumbuka maisha hayana hati fungani.

Ni kama gwaride kwa hiyo ni mwendo wa shotokulia
 
Poleni na hekaheka za campaign wana JF.

Moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni mwathirika wa kamari, nacheza mchezo wa roulette kwa sana kuanzia cassino na popote napokutana na hilo dude.

Nimeajiriwa na kipato changu si haba maana nikichukua mshahara wangu pamoja na ganji nazopata kazini nina uhakika wa kutengeneza zaidi ya milion 5 kwa mwezi. Maana nina uwezo wa kupata kati ya 50,000 hadi laki 300,000 kwa siku hapa inategemea na hali ya siku yenyewe na hii ni pamoja na uchumi wa anko Magu kuwa hivi.

Pamoja na pesa zote hizo pesa pekee nayoweza kuiweka kwenye account ni kati ya laki 5 na m1 tu zingne zote naliwa kwenye ulaibu huu.

Hivyo nikikaaa bila kwenda kwenye kamari miezi 3 hua nafanya maendeleo makubwa.

Bahati mbaya pesa zote hizi zinaishia kwenye kucheza kamari.

Nimejitahidi kujaribu kuacha wapi,nimetembelea wataalamu wa psychology lakini sijaona mafanikio

Nashukuru nimejenga nyumba nzuri ya ndoto yangu pia usafiri wa haja ninao.

Nasikitika kwamba naweza kuwa na m1 asubuhi usiku sina hata pesa ya kuweka mafuta asubuhi.

Binafsi ninapambana kuacha hii kitu lakini sijui nianzie wapi kuacha.

Nishatangaza dau hata kwa mtu anaeweza nisaidia kuacha kamari lakini hakuna msaada.

Natamani nihamie mikoa ambayo hakuna haya madude bahati mbaya kazi yangu haina tawi kwa ofisi nayofanyia kazi.

Ukweli huwa naweza kushinda pesa kubwa tu kwenye hii kamari hata m10 kwa siku lakini inakuchukua hata siku 5 unapewa kipigo tena!

Mnaweza kunipa mawazo yenu wana jukwaa?

Nawasilisha.
nisogezee na skonsi niiliie vizuri na hii [emoji477]
 
Dawa ipo....subiri connection za pesa zikatikee....makamaria walee garii then uuze nyumba...then u bet mkee nae aliwee kwenye kamari walaaaah utaacha
 
Poleni na hekaheka za campaign wana JF.

Moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni mwathirika wa kamari, nacheza mchezo wa roulette kwa sana kuanzia cassino na popote napokutana na hilo dude.

Nimeajiriwa na kipato changu si haba maana nikichukua mshahara wangu pamoja na ganji nazopata kazini nina uhakika wa kutengeneza zaidi ya milion 5 kwa mwezi. Maana nina uwezo wa kupata kati ya 50,000 hadi laki 300,000 kwa siku hapa inategemea na hali ya siku yenyewe na hii ni pamoja na uchumi wa anko Magu kuwa hivi.

Pamoja na pesa zote hizo pesa pekee nayoweza kuiweka kwenye account ni kati ya laki 5 na m1 tu zingne zote naliwa kwenye ulaibu huu.

Hivyo nikikaaa bila kwenda kwenye kamari miezi 3 hua nafanya maendeleo makubwa.

Bahati mbaya pesa zote hizi zinaishia kwenye kucheza kamari.

Nimejitahidi kujaribu kuacha wapi,nimetembelea wataalamu wa psychology lakini sijaona mafanikio

Nashukuru nimejenga nyumba nzuri ya ndoto yangu pia usafiri wa haja ninao.

Nasikitika kwamba naweza kuwa na m1 asubuhi usiku sina hata pesa ya kuweka mafuta asubuhi.

Binafsi ninapambana kuacha hii kitu lakini sijui nianzie wapi kuacha.

Nishatangaza dau hata kwa mtu anaeweza nisaidia kuacha kamari lakini hakuna msaada.

Natamani nihamie mikoa ambayo hakuna haya madude bahati mbaya kazi yangu haina tawi kwa ofisi nayofanyia kazi.

Ukweli huwa naweza kushinda pesa kubwa tu kwenye hii kamari hata m10 kwa siku lakini inakuchukua hata siku 5 unapewa kipigo tena!

Mnaweza kunipa mawazo yenu wana jukwaa?

Nawasilisha.
Nicheki pm mkuu nitakupa suluhisho
 
Acha acha acha acha acha. Nina mifano mingi sana mibaya na hiyo kitu
 
Subiri kwanza uuze nyumba..
 
Ukiwa mcheza kamari nyota ya fedha inakufuata. Mimi mwenyewe ni mcheza kamari mzuri. Naliwa sana ila naona nyota ya pesa imeongezeka kwangu. Ukiacha kuna uwezekano pesa isipite tena mikononi mwako. Ishi hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom