Akili inaporuhusu kutazama ndio macho huona!

Akili inaporuhusu kutazama ndio macho huona!

Halafu hili neno "nyumbu" umelirudiarudia sana kwenye "tell" yako, wakati ukijua kabisa kuwa manyumbu original wapo.
Hawatakuelewa vbaya na kukuona umewageuka na kubadili dini na kukiri madhehebu ya "mlumumba"?
Mifano mingine isiyofasiri siku ya wajinga, si ya kukazia sana maana unaweza kueleweka tofauti.
 
Ngoja tuzindue ukuta, ili kumkabili Tai, dah!!? sasa kama anatokea juu akiwa na hesabu kali nadhani 42018 hii magazijuto + Mungu inaweza kuwa na Habari njema
 
Ngoja tuzindue ukuta, ili kumkabili Tai, dah!!? sasa kama anatokea juu akiwa na hesabu kali nadhani 42018 hii magazijuto + Mungu inaweza kuwa na Habari njema
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Nimekumbuka usemi ule maarufu wa marehemu Didas Masaburi RIP [emoji1019]... wa kwamba usiwaze kwa kutumia makalio [emoji6] [emoji6] [emoji6].... Naona kuna wimbi kubwa la kusimanga halafu linashika kasi
IMG_20180405_065429_267.jpg
 
Back
Top Bottom