Wewe ni shujaaaa na umeonesha msimamo wa kiume aende zakee nagupapuchi gwake bhana,wadada wako kibao ungemkubalia huo ujinga wake wewe ungekuwa zaid ya mtumwa!
huyo alikuwa muoga wa mapenzi au labda hukuwa hadhi yake so akawa anaogopa kuonekana na ww mtaani...
Daima mbele nyuma mwiko mkubwa usijegeuka jiwe la chumvi kama yule wa kwenye maandikonishatupa na nyuma sitazami!
we unafikiri wapenzi wanaanzaga kutoka baada ya mda gani?:.....msinizeeshe jamani.....kutoka na mpenzi wako haina maana mnaenda kungonoka!
Huyu mtoto wa kike naishi nae hapa mtaani ni mwezi sasa tangu akubali ombi langu. Sasa wadau kilichonichosha, ingawa tuko mtaa mmoja, akawa anataka tuwe tunawasiliana kwa simu tu kama tunaishi mikoa tofati vile.
Eti mmewahi kuiona wapi hii jaman? Na kama kuonana basi atakuja ofisini kwangu kunipa hi na kuondoka. Nikimwambia tuonane private ili tupange future yetu vizuri, analeta stori nyingiiiii, mara ooh sijazoea kuzurura na sababu nyingine zisizo na mashiko.
So habari nzuri kwenu wadau ni kwamba nimemchana vya kutosha na kumwambia asepe ila pia kuonesha sishoboki kizembe, papuchi yake sijaigusa wala denda sijala.
SAMAHAN UANDISHI NI SHIDA KWA HII SIMU
kama haimaanishi hivyo unalalamika nini? endelea kutoka tu mpka siku atakayoamua kukunjua,siyo unalalamika wakati unajua ukitoka na mpz wako si lzm ungonoke!!!
Heeeeee
Kula tano mkubwa. Oh sizitaki mbichi hizi......Naona Umekuja Kupunguza Machungu Jf
pole jamani huyo mtoto wa kike vipi yaani wewe unataka
umuoe yeye analeta blaablaa ajui kuwa anacheza na shilingi mdomoni
cha kufanya mwambie wazi kuwa wataka kumuoa na mpange maisha halafu
ukiona analeta vya mchezo achana naye kwani anataka kukulia tu hela zako huyo
Kaka hujapendahahahahah:...sijui kwanini!....nikivuaga penzi huwa siumii!
labda hujanielewa mkuu!:...huyo mtoto anataka tuishie kuchati na kuwasiliana kwa simu...kutoka hataki!!