Akili imenikaa sawa, baada ya kuona vinyoyanyoya

Ukiona mwanamke sababu zinakuwa nyingi we sepa zako mapema, mara nyingi anakuwa ana hide jambo fulani. Huenda ana jamaa yako hapo kitaaa na hivyo anaogopa kuonekana nawewe public. Au huenda hakukubali na hivyo atakuwa ashamed kwa wenzie pindi anapooonekana nawe ( si unajua masister du huwa wako selective sana mpaka wakishatendwa na age imesoma mile ndo akili hukaa sawa).
 
we jamaa una experience kubwa na hawa viumbe...ah!.......nimefukuzia mbali!
 
astagafilu was the relationship short-term or long term au haikuwa na malengo everythng happen for a reason, hapo ofcn kwenu si wapo wadada rusha wavu uone kama itatoka na samaki
 
kama mrembo mwenyewe haeleweki mi nifanyeje?....tunakwenda kwa mipango mkuu
 
Makubwa!! Mwezi mmoja unataka kumaliza kila kitu! Umeskia pipi hyo? Halafu uache uzinz kunywa maji ya kisima chako mwenyewe.
 
Papuchi papuchi papuchi my friend una nini wewe mbona wanaume wanakulilia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom