hivi sisi wanaume kitu cha kuringia pekee ni pesa?Hiyo ndio dawa yao! Ye aringe na papuchi yake we ringa na hela zako. akajimege mwenyewe km anaweza.
hivi sisi wanaume kitu cha kuringia pekee ni pesa?Hiyo ndio dawa yao! Ye aringe na papuchi yake we ringa na hela zako. akajimege mwenyewe km anaweza.
Makubwa!! Mwezi mmoja unataka kumaliza kila kitu! Umeskia pipi hyo? Halafu uache uzinz kunywa maji ya kisima chako mwenyewe.
Safi sana kwa uamuzi wa kipuuzi uliochokua kumbe nia yako ulikua unaitaka papuchi yake biashara iishe si ndo ivo dem naye kakushtukia ukome na u bazaz wako. kama angekupa ungetuambia? na hukawii kusema ni mama hurumaHuyu mtoto wa kike naishi nae hapa mtaani ni mwezi sasa tangu akubali ombi langu. Sasa wadau kilichonichosha, ingawa tuko mtaa mmoja, akawa anataka tuwe tunawasiliana kwa simu tu kama tunaishi mikoa tofati vile.
Eti mmewahi kuiona wapi hii jaman? Na kama kuonana basi atakuja ofisini kwangu kunipa hi na kuondoka. Nikimwambia tuonane private ili tupange future yetu vizuri, analeta stori nyingiiiii, mara ooh sijazoea kuzurura na sababu nyingine zisizo na mashiko.
So habari nzuri kwenu wadau ni kwamba nimemchana vya kutosha na kumwambia asepe ila pia kuonesha sishoboki kizembe, papuchi yake sijaigusa wala denda sijala.
SAMAHAN UANDISHI NI SHIDA KWA HII SIMU
Huyu mtoto wa kike naishi nae hapa mtaani ni mwezi sasa tangu akubali ombi langu. Sasa wadau kilichonichosha, ingawa tuko mtaa mmoja, akawa anataka tuwe tunawasiliana kwa simu tu kama tunaishi mikoa tofati vile.
Eti mmewahi kuiona wapi hii jaman? Na kama kuonana basi atakuja ofisini kwangu kunipa hi na kuondoka. Nikimwambia tuonane private ili tupange future yetu vizuri, analeta stori nyingiiiii, mara ooh sijazoea kuzurura na sababu nyingine zisizo na mashiko.
So habari nzuri kwenu wadau ni kwamba nimemchana vya kutosha na kumwambia asepe ila pia kuonesha sishoboki kizembe, papuchi yake sijaigusa wala denda sijala.
SAMAHAN UANDISHI NI SHIDA KWA HII SIMU
Safi sana kwa uamuzi wa kipuuzi uliochokua kumbe nia yako ulikua unaitaka papuchi yake biashara iishe si ndo ivo dem naye kakushtukia ukome na u bazaz wako. kama angekupa ungetuambia? na hukawii kusema ni mama huruma
Ndugu yangu wanawake ni watu wadhaifu sana ila ni wachunguzi mno na wanataka kuheshimiwa sasa inategemea wewe umemchukuliaje kama mapenzi ya cm je ni lugha gani uitumiayo kuconvice ili mtoke isije kua lugha ni uitumiayo ni ya kule kwetu msoma.bembeleza kama marow usitumie misamiati kama FID Q. HAPO HATA MISS TZ UTAMPATA vilevile usiweke tamaa ya ngono mbele kama unafuture naye ndege wako manati ya nini bwana msome ukweli utaupatasio hivyo banah!...labda unambie kama ww huwa hautoki na mpenzi wako pindi mpatapo nafasi, kwenda faragha kuoneshana hisia zenu kwa matendo japo kwa wiki mara moja ,ikizingatiwa mnaishi mtaa mmoja!:....cha ajabu kipi hapa mimi kutaka kutoka na mpenzi wangu!
Wewe ni shujaaaa na umeonesha msimamo wa kiume aende zakee nagupapuchi gwake bhana,wadada wako kibao ungemkubalia huo ujinga wake wewe ungekuwa zaid ya mtumwa!nimeamini kweli kuna wadau hapa wana roho za ajabu .... Ninyi mnataka niishi na mpenzi wangu kama tuko kifungoni?:.......wala siifanyi ngono kama kigezo cha kuwa karibu na yule nimpendae.....bali mapenzi ya kuishi na mpenzi wangu kama tuko shule za bweni...tena mikoa tofauti mi siyawezi!
Ndugu yangu wanawake ni watu wadhaifu sana ila ni wachunguzi mno na wanataka kuheshimiwa sasa inategemea wewe umemchukuliaje kama mapenzi ya cm je ni lugha gani uitumiayo kuconvice ili mtoke isije kua lugha ni uitumiayo ni ya kule kwetu msoma.bembeleza kama marow usitumie misamiati kama FID Q. HAPO HATA MISS TZ UTAMPATA vilevile usiweke tamaa ya ngono mbele kama unafuture naye ndege wako manati ya nini bwana msome ukweli utaupata
Chukua uamuzi mgumu mwambie kama hataki kua pamoja nawe aache wapo wengi wanalilia nafac hio kuvunjika kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzikwakweli mkuu PAKAYA huyu mtoto sijawah kuzungumzia ngono ktk maongez yetu ya simu.....tatizo kubembeleza mi sijui....hata kumtongoza nilimtongoza mara moja , aliponiletea zile pozi za sitak nataka, nikamwambia poa baki kama ulivyo..... ila baadaye akaanza kunitafuta na kuanza kunichombeza kwa msg..... ndipo nikamtongoza tena akakubali.....hata kazini nilimwambia hasiitumie kama sehemu ya kuonana hivyo nikampiga marufuku!