Akiadhimisha miaka 86 Robert Mugab.....

Akiadhimisha miaka 86 Robert Mugab.....

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
Wandugu hii habari imo ndani VOA
Akiadhimisha miaka 86 Robert Mugabe rais wa Zimbabwe kuwa wachunguzi wa masuala ya Siasa duniani wameona Robert Mugabe anataka kukaa madarakani mpaka kufa kwake. Je wananchi watakubali? au mfumo huu unaitwaje? Je Bongo Sisiem si inataka kukaa madarakani the same of President Mugabe mpaka Chama kisambaratike?
 
Ndo jadi ya viongozi wa Kiafrika!

Wanalewa madaraka hadi wanaona haiwezekani kukaa nje ya urais!...wengine wanaugua wee, hadi wanaongoza nchi wakiwa ICU, lakini kung'atuka ni ndoto!

Ishu ni wananchi wake...kama wanaona mateso wanayopata ni saizi yao, acha wamchague!
 
Mods Post nyingine Zifute maana net ilikuwa inasumbua nimeona zimejipost nyingi ka tatu futa mbili
 
Back
Top Bottom