64Bits
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 961
- 565
Pole sana, yalishawahi kunikuta kama haya. Moyo ulinipiga kama unataka kutokea kwenye blauzi kwa uwoga. Usiache akakufanya ujisikie vibaya, he is wrong and he has no one to blame than himself. Mpe sura ya mbuzi ukimuona... usimchekee, ubaya ubaya tu! Papuchi anaitaka kwa nguvu hivyo hata kuimbisha hajui...?!