Akhaa babu ukubwa kitu gani?...

Akhaa babu ukubwa kitu gani?...

Mi namtetea pengine hakuwa na nia mbaya kabisa na ungelala kwake asingekugegeda wala nn

haa mtu anakwambia hataki dirishani wamuone, mara nisiongee kwa saut kubwa watamsikia, amefunga milango yote na kuzima taa juu huku mziki sauti kubwaaa nisishtuke tu!! kama ni kunisaidia yeye angenambia atalala na yule kaka aloenda kuangalia mech then mim nilale kwake at least ningemwelewa!
 
mahondaw, ungetulia tuli uone anachofanya!

kwani hio ni mara yako ya kwanza mamii???

next time usipige kelele, vumilia angalau 90% uone situation inakofikia...

ukiona bikini inaanza kuchunguliwa sasa hapo ndipo utoe macho eenh!! sawa mtoto mzuri?
 
sasa ulivyokaa chini eti joints zimeorojoka , nini lilikuwa lengo lako? , au nyie ndio wale wa….."niangusege mwenyewe sambi zako mwenyewe!".

kwani mi nilipenda au ni automatic tu nikashangaa sina nguvu yaani sikuamini kama ndo nabakwa laivu bila chenga hapohapo mwili ukapoteza mawasiliano
 
mahondaw, ungetulia tuli uone anachofanya!

kwani hio ni mara yako ya kwanza mamii???

next time usipige kelele, vumilia angalau 90% uone situation inakofikia...

ukiona bikini inaanza kuchunguliwa sasa hapo ndipo utoe macho eenh!! sawa mtoto mzuri?

khaaaaa
 
mmhh ile ngumu kuvumilia asee yani bila hata woga anaoneshea et utalala kulee mimi hukuu na namuona kabisa macho yote yamekuwa mekunduuu hiyo musuli kuanzia usoni shingoni na kulee imesimama haswaa lol!!
 
namimi ngeitikia haya usiku mwema nawe pia kisha najifungia mlango usingeamini

Kwa kizazi hiki cha laana ni binti mmoja katika kumi ambaye anasema no yenye kumaanisha hapana, na ukichukua sampuli at random unaweza kukosa hata mmoja kwenye kundi la kumi!
 
haa mtu anakwambia hataki dirishani wamuone, mara nisiongee kwa saut kubwa watamsikia, amefunga milango yote na kuzima taa juu huku mziki sauti kubwaaa nisishtuke tu!! kama ni kunisaidia yeye angenambia atalala na yule kaka aloenda kuangalia mech then mim nilale kwake at least ningemwelewa!

Alikua hataki watu wamuone au wasikie kelele ili wasije kumhisi vibaya kwani yy hakuwa na lengo baya
 
Kwa kizazi hiki cha laana ni binti mmoja katika kumi ambaye anasema no yenye kumaanisha hapana, na ukichukua sampuli at random unaweza kukosa hata mmoja kwenye kundi la kumi!

hata kama jamani mi mgeni ndio kwanza nmetokea mkoa mwinginee kabsaa na ni mara ya kwanza kufika hapo wamenipokea saa 12 jioni saa 3 usiku vimbwanga vikaanza dah cdhani kama mzima huyu kaka bila shaka atakua mbili kasoro sio bure
 
Ila ukiwa na sura nzuri kuna changamoto mbili tatu!
 
habari ndio hiyo...! pale angetulia tu ampime kama jamaa ana uwezo wa kusimamisha ama lah!

kwani mahondaw angejivolunteer siku moja bana ingekuwaje? mbona mnatutesa hivyo tusioweza kuwatongoza uso kwa uso?
 
Last edited by a moderator:
Una bahati, ilikuwa upigwe kavu kavu! Ungekomajeee??!! Mara anatupia na attachment inanatishwa na placenta halafu hata mshahara wa kwanza huna. Ila polee eeh?
 
habari ndio hiyo...! pale angetulia tu ampime kama jamaa ana uwezo wa kusimamisha ama lah!

kwani mahondaw angejivolunteer siku moja bana ingekuwaje? mbona mnatutesa hivyo tusioweza kuwatongoza uso kwa uso?

Hivi kumbe madomo zenge ndo wapo hivyo eeh,
Ingekuwa ni mimi ningeuvuta huo mgegedo mpaka ajutee
 
Last edited by a moderator:
Alikua hataki watu wamuone au wasikie kelele ili wasije kumhisi vibaya kwani yy hakuwa na lengo baya

hapa nlisahau kuhadithia banah kwanza wakat tuapigapiga stori akaniuliza una mchumba?? yupo wap?? ni mchumba ama just a boyfriend?? mmhh mtoto wa watu ndokwanzaaa nimefika hata sijapumzika nakumbana na hilo swali khaaa!
 
mbona kama vile ni mimi jamani??

si ilikuwa jioni jioni kuelekea usiku mahondaw? lol!
 
Hivi kumbe madomo zenge ndo wapo hivyo eeh,
Ingekuwa ni mimi ningeuvuta huo mgegedo mpaka ajutee

afu nikakutumia PM toka wiki iliyopita hujaijibu mpaka leo!

ntakunanii wewe! ohoo!
 
sura tu???????!!!

Mimi mwenyewe juzi kati naitwa na MD wa kampuni moja ya construction nikamsaidie tatizo moja kwenye kazi kwa kuwa namni ni mdau wa hiyo industry, kufika hamadi bint wa Director ndani ya ofisi,kwanza ile tazama ya kwanza tu moyo ukapiga sarakasi na kusali kimoyo moyo nisije kupoteza sifa yangu njema kwa bwana mkubwa kwa sababu ya jambo kidogo hivi and guess what? Si tukapata wasaa wa kuongea mawili matatu na bi dada, mtoto anaongea so romantic full majaribu....ngojea nivute muda nisionekane nna papara but ni lazima niombe ride after all she's hot na haya makitu its better kwa mazoezi ya nafsi nasikia pia yanaondoa pia uwezekano wa heart attack lol.
 
kwa hiyo dada ndio kusema kiselula ndio kimekuokoa, maana ulisha ubwaga moyo!!! , anyway pole kwa kuponyea chupichupi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom