Akhaa babu ukubwa kitu gani?...

Akhaa babu ukubwa kitu gani?...

Kuna injili ya mapenzi kiongozi, yaani unamsoma binti hulka yake kwa haraka kisha unaanza kumchapa neno ukilenga yale tu anayopenda kuyasikia kutokana na tabia uliyoisoma kwake.

Niliposema vijana wliozaliwa utawala wa Mwinyi kuja juu nilimaanisha kwa mfano unakuta vijana wanatongoza kwa kutumia status za familia yao,ama minyororo hii mnayovaa siku hizi.....
1+(4).jpg

mmhhhhh gospel ya mapenzi???? ndo ipi hyo???!!
 
mmhhhhh gospel ya mapenzi???? ndo ipi hyo???!!

Kwanza ni kukupa ukarimu uliopitiliza halafu mwendo wa baybe baybe nyingiiiiiiii bila hata sababu ya msingi na nikiona somo halikuingii nakupa hata mikasa ya vibwengo kwa wageni wanaofika mara ya kwanza kwenye eneo ulilofika, na nitaieleza kwa uchungu kweli kwamba the only suluhu ni two in one just in case ha ha haaa...kisha nakuaga naenda kulala halafu tuone!
 
Yumkini nawe ulijiweka kihasara hasara sana maana kama ungetupiamo mavazi ya kina dada wa utawala wa Mwalimu huyo Sharobaro asingekutamani...hebu cheki haya mapigo
DUU.PNG

hapana ni tamaa zake tu
 
Kuna injili ya mapenzi kiongozi, yaani unamsoma binti hulka yake kwa haraka kisha unaanza kumchapa neno ukilenga yale tu anayopenda kuyasikia kutokana na tabia uliyoisoma kwake.

Niliposema vijana wliozaliwa utawala wa Mwinyi kuja juu nilimaanisha kwa mfano unakuta vijana wanatongoza kwa kutumia status za familia yao,ama minyororo hii mnayovaa siku hizi.....
1+(4).jpg

Hapo umenena.
 
sasa ulivyokaa chini eti joints zimeorojoka , nini lilikuwa lengo lako? , au nyie ndio wale wa….."niangusege mwenyewe sambi zako mwenyewe!".
 
nadhani sasa wataambizana kuwa wewe si wa kuchezea na watakuheshimu haswa. Yaelekea ndo michezo ya huyo mkaka kama si yao wote hao housemates. Pole na hongera kwa ujasiri. Keep it up mamie
 
Pole jamani. Huyo kaka anaonekana ni "saikopath". Tabia zake zimekaa kibakaji kabisa. Pole sana ila nafikiri suluhisho ni kuongea tena na mratibu ili akuhamishe kama inawezekana.
 
Kwanza ni kukupa ukarimu uliopitiliza halafu mwendo wa baybe baybe nyingiiiiiiii bila hata sababu ya msingi na nikiona somo halikuingii nakupa hata mikasa ya vibwengo kwa wageni wanaofika mara ya kwanza kwenye eneo ulilofika, na nitaieleza kwa uchungu kweli kwamba the only suluhu ni two in one just in case ha ha haaa...kisha nakuaga naenda kulala halafu tuone!

namimi ngeitikia haya usiku mwema nawe pia kisha najifungia mlango usingeamini
 
jamaa alitaka ajipigie handcap za kutosha usiku mzima, maana kakuona wewe kama kitonga..yani kwake ni mteremko tuu kwa ganda la ndizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom