Akhaa babu ukubwa kitu gani?...

Akhaa babu ukubwa kitu gani?...

Location yako ni ghetto sio? Ndo mana huyo jamaa kakuona wewe ni wa kighetto ghetto
 
Nimekuja sasa mhusika, Mimi sikutaka tufike huko, kiukweli nilikupenda toka moyon na cku ile ni Nyeg* zilinizidi, alfu mi niliamini ulinielewa sikutegemea kama utaenda niripoti kwakweli
 
hah hah hata yeye asema hivohivo et hakuamini kama yangefika huko nkamwambia ndiovo tena yashafika!!!
 
umeona eeeeeeeh?????!!!!!

Sema naye alitumia ubabe! Ungekutana na wataalamu kama mimi enzi za ujana wangu mbona nisingeshika mkono kupeleka chumbani maana ungepigwa romantic gospel weeeeee, mwenyewe utatafuta chumba changu kwa tochi! Vijana waliozaliwa utawala wa Mwinyi kupanda juu huu ufundi umewapitia kushoto!
 
Romantic Gospel. jf full raaha. thanx mkuu nimekuelewa enzi hizo tulikuwa hatujazaliwa.
 
thanks God nipo salama Excel umefichwa wapi jamanii???

mi nipo haondaw... we si uliamua kunibania bana!

kama vipi nialike ghetto mwenyewe.. sitaki kuanzishiwa uzi bure! hahahaaaa!! miss you mahondaw
 
Romantic Gospel. jf full raaha. thanx mkuu nimekuelewa enzi hizo tulikuwa hatujazaliwa.

Kuna injili ya mapenzi kiongozi, yaani unamsoma binti hulka yake kwa haraka kisha unaanza kumchapa neno ukilenga yale tu anayopenda kuyasikia kutokana na tabia uliyoisoma kwake.

Niliposema vijana wliozaliwa utawala wa Mwinyi kuja juu nilimaanisha kwa mfano unakuta vijana wanatongoza kwa kutumia status za familia yao,ama minyororo hii mnayovaa siku hizi.....
1+(4).jpg

Sema naye alitumia ubabe! Ungekutana na wataalamu kama mimi enzi za ujana wangu mbona nisingeshika mkono kupeleka chumbani maana ungepigwa romantic gospel weeeeee, mwenyewe utatafuta chumba changu kwa tochi! Vijana waliozaliwa utawala wa Mwinyi kupanda juu huu ufundi umewapitia kushoto!

hawa watoto wa k.k.ete utawaweza sasa???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom