Barclays ni usd 13.Ni usd curr.ac. ya Hundi.Huko crdb ngapi mkuu kwa iyo usd current account.Faida za CRDB ni unapata MasterCard na pia unaweza kufanya online transaction. Downside yake ni makato ya transaction, sina US dollar akaunti benki nyingine (sina comparison) but I feel the fee is too much
mkuu nina tariff guide hapa ya crdb.current account tzs ni tzs 13500 kwa mwezi.kwaiyo kama ni dollar inakuwa usd/euro/sterling pound=13. sasa ukisema makato ni sawa na mshahara wa mtu si kweli.labda posho ya mtu/vibarya.bank charges ni kubwa sana crdb yaani hapa ofsini kuna account ya dolar kwa mwezi hyo benk charge ni mshahara wa mtu kabisa
Ukiwa na akaunti ya dollar na hauingizi mpunga kwa dollar manake ukiweka tzs wanaiconvert kuwa usd.Na gharama za kuconvert zinachange daily.Hivi wadau kama akaunti yako ni ya shilingi na unaitumia kuingizia mshahara wako unaweza kuigeuza kuwa ya dolar ?? Na vipi hasara zake kwenye mshahara wako.... Pia napenda kujua faida za kuwa na akaunti ya dollar
je ukidraw?mkuu nina tariff guide hapa ya crdb.current account tzs ni tzs 13500 kwa mwezi.kwaiyo kama ni dollar inakuwa usd/euro/sterling pound=13. sasa ukisema makato ni sawa na mshahara wa mtu si kweli.labda posho ya mtu/vibarya.
-Wahudumu wandani kima cha chini cha uchochoroni ni tzs 50,000.
Nimekupata. Asante sana mkuuUkiwa na akaunti ya dollar na hauingizi mpunga kwa dollar manake ukiweka tzs wanaiconvert kuwa usd.Na gharama za kuconvert zinachange daily.
-Usd ac. ukitaka ufaidike uwe unapokea malipo ya usd/other foreign currencies.Coz zinasaidia unapohitaji kununua kitu nje ya nchi unakuwa unaepuka gharama za kuconvert sarafu.Upo?