Asee... Huyu bwana Dimondi na hii tata... Tarara raa...
Naomba hospital zote zihakikishe vifaa na kila kinachohusu presha kinafanya kazi sawasawa.. Wagonjwa wataongezeka soon..
Manzi yangu ya kenya inasema songi lipo supaa nikamjibu yeah of course thts Diamond we a talking abt bae nikiwa nimekunja mdomo upande kama Ice Cube. Hahaa. Haters gonna hate thou…