Inamaana unataka kusema Audio ni mbaya ukicompare na ipi labda" mbona video ya Jux One more Night watu walipenda video lkn audio wakasema sio nzuri na nyimbo inabamba kwenye Tv stations kubwa Africa. Video imatter sana kwenye ulimwengu huu wa sasa.
Video ikiwa super inaweza kuipush nyimbo kwa upande wa Tv na Views YouTube.
Sasa usiombe vyote vikawa super majibu unayo