Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
Utatoka Leo ijumaa,najaribu kutafakari utakuaje?
Spesho thread ya diamond mbona ipo hapa
Yule msanii wa kizaz kimpya aliyechukua tunzo nyng za ndan na inje ya inch,,ungaunga akili yako upate kumfahamu
Asante kwa masahihisho!! Nilikuwa nafahamu AKA ameshirikishwa ila nimeona MTV wameandi Diamond & AKA nikawa confused kidogo.. Let's see ikidrop kama ni ya pamoja basi tutachange tittle..Sio DIAMOND ft. AKA
Ni wimbo wa pamoja
(Joint kama vile "Ayo" ya Chris brown na Tyga)
Nimeona tuwe na kathread kadogo special kwa ajili ya hiyo nyimbo tu ili iwe rahisi mtu kuupata..Spesho thread ya diamond mbona ipo hapa
Ulikuja kufanya nini??? Ondoka fasta tena.!!!Haaya! ngoja niondoke hili jukwaa, mna mineno ya hovyo! mno
Sijakuelewa, nimemjibu alietoa thread kuwa tayari kuna special ya diamond, we nae sijui umeibukia wapi umekuja kutua hapa kama mchawi nimekuambia wewe mxyuuuuHIYO SPECIAL THREAD YAKE HAINIHUSU! NAONA NIMETAJA JILA LA HUYU DOMO! TEAM YAKE MMENG'AKA! SAMAHANINI HATA MO11, SIKUJUA NDUGU NILIDHANI NIKO SIASANI, KUMBE NIMEKOSEA JUKWAA!, NGOJA NIONDOKE! HUKU HAKUNIFAI MSIJE KUNIN'GOA KUCHA!
Am wairiiinDakika na Sekunde yoyote kuanzia sasa Kijana Mtanzania ambaye hajawahi kutuangusha kimuziki atadondosha Video yake mpya aliyomshirikisha Msanii kutoka South Africa, AKA ambaye ndiye rapper bora kwa sasa barani Afrika.!
Wimbo unaitwa Make Me Sing, ambapo bado haijawekwa wazi lakini taarifa zilizopo ni kwamba video imefanywa na Godfather nchini SA.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya mashabiki wote wa Diamond platnumz na Watanzania na Waafrika wote wenye mapenzi mema ya kuufikisha muziki wetu katika level za juu kabisa.!!
Video ikidondoka tu tutaidadavua hapa na kucelebrate pamoja!! Stay tuned..