born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,499
View attachment 223099 Mikhail kashalaskov inventor of AK 47
Hapana, bado AK inatumika sana duniani, kuna version kadhaa za AK, kuna aina 13 za AK, na 47 nimojawapo katika version hizo na ndio ya mwanzo kabisa, ilitumiaka mwishoni mwa vita ya pili ya dunia. version latest kabisa niya mwaka 2014 ikiitwa Kalashnikov AK-12 ( Prototype AK_200).Asante sana mkuu, ila nadhani sasa hivi inazidiwa na aina nyingine za bunduki.
Alishinda Nobel prize japo haikuifurahia na ni kweli alibaki na majuto maisha yake yote mpaka anakufa
Ntashukuru sana
View attachment 223099 Mikhail kashalaskov inventor of AK 47
Mshana sina kumbu kumbu rasmi kama huyu bwana alishinda Nobel Prize....kwenye category gani? Unajua vipengele vya mtu kupata tuzo tajwa?
Kuna documentary moja niliangalia kwenye viasat history, ngoja nitatafiti vizuri kuhusu hili
Automatische Kalash. . . . . . . .
Inasemekana mgunduzi alijuta sana baadaye
Ana nishani na tuzo anuai ktokana na ugunduzi/uvumbuzi wake...
Decorations
- Hero of the Russian Federation (2009)
- Order of St. Andrew (2008)
- Order For Merit to the Fatherland, Second Class (1994)
- Order of Military Merit (Russia) (2004)
<dl><dt>Awards
</dt></dl>
- State Prize of the Russian Federation in the field of design (1997)
- Award of the President of the Russian Federation in the field of education (2003)
- All-Russian Literary Prize of Suvorov (2009)
<dl><dt>Medals
</dt></dl>
- Jubilee Medal "50 Years of Victory in the Great Patriotic War 19411945"
- Medal "Symbol of Science" (2007)
- Gold Medal of Zhukov
- Medal "For outstanding contribution to the development of the collection business in Russia"
<dl><dt>Acknowledgements
</dt></dl>
Soviet
- Gratitude of the President of the Russian Federation (1997, 1999, 2002, 2007)
<dl><dt>Honours
</dt></dl>
<dl><dt>
- Order of Lenin (1958, 1969, 1976)
- Order of the October Revolution (1974)
- Order of the Red Star (1949)
- Order of the Patriotic War, 1st Class (1985)
- Order of the Red Banner of Labour (1957)
- Order of Friendship of Peoples (1982)
Medals
</dt></dl>
<dl><dt>Awards</dt></dl>
- Medal "Hammer and Sickle" (1958,1976)
- Medal "For Victory over Germany in the Great Patriotic War of 19411945"
- Medal "Twenty Years of Victory in the Great Patriotic War 19411945"
- Medal "In commemoration of the 100th anniversary of the birth of Vladimir Ilyich Lenin"
- Jubilee Medal "Thirty Years of Victory in the Great Patriotic War 19411945"
- Jubilee Medal "Forty Years of Victory in the Great Patriotic War 19411945"
- Medal "For Distinction in Guarding the State Border of the USSR"
- Medal "Veteran of Labor" on behalf of the Presidium of the Supreme Soviet of the USSR
- Jubilee Medal "30 years of the Soviet Army and Navy"
- Jubilee Medal "40 years of the Armed Forces of the USSR"
- Jubilee Medal "50 Years of the Armed Forces of the USSR"
- Jubilee Medal "60 Years of the Armed Forces of the USSR"
- Jubilee Medal "70 years of the Armed Forces of the USSR"
- Medal "In Commemoration of the 800th anniversary of Moscow"
Foreign decorations
- Stalin Prize (1949)
- Lenin Prize (1964)
Other honours
- Order of Honour of Belarus (1999)
- Order of Friendship, First Class (2003)
- the home of Mikhail Kalashnikov in the village he set Courier lifetime bronze bust (1980)
- the name of the designer named projected prospect in Izhevsk (1994)
- "Honorary Citizen of the Altai Territory" (1997)
- Ministry of Economy of Russia award The sign "of small arms designer Mikhail Kalashnikov" (1997)
- Union of scientific and engineering organizations and the Government of Udmurtia established an award named after Mikhail Kalashnikov (1999)
- Diamond company "Alrosa" extracted 29 December 1995 gem diamonds weighing 50.74 carats given the name "designer Mikhail Kalashnikov" (14.5 x 15, 0h15, 5 mm, quality Stones Black) (1999)
- Mikhail Kalashnikov Cadet School in Votkinsk (2002)
- Award in his name at the School of Weapon Skills of Izhevsk (2002)
- Izhevsk State Cultural Institution "Museum of Mikhail Kalashnikov"
- "Honorary Engineer of Kazakhstan" (Kazakhstan; 2004)
- Gift from President Hugo Chávez, the highest award of the Republic a copy of the famous sword of Simon Bolivar, which is a relic of Venezuela and the copy is equal to the highest award of the country (2009)
- The name of Mikhail Kalashnikov was given to the military department of the Mining Institute in St. Petersburg (2009)
- Izhevsk State Technical University was awarded the name of Mikhail Kalashnikov (2012)
- German knife company Boker has dedicated a series to him (2013)
Documentary inabeba(ga) mazuri tu ya mtu i.e hagiography na wakati huo huo inaweza kubeba pande zake mbili i.e biography kutegemea tu na alicholenga author ama msimamo wake...ila kama alipata kupewa tuzo ya Nobel I'm standing to be corrected!
Nimeipenda hii iko so detailed yawezekana kabisa niliona mojawapo ya hizo kwahiyo upon sahihi
La kukosa amani kwenye umri wa ukubwani lipo...alijisikia vibaya sana kwa weapon aliyovumbua kutumika vibaya kinyume na malengo yake (of which hata hivyo ilikuwa ni dhidi ya NAZI ya Hitler ) Lakini wakati huo huo taifa lake halitamsahau kwa uvumbuzi wake maana kama sio hii kitu perhaps Urusi huenda isingekuwepo kwenye uso wa dunia!
Mimi nadhani tukianza kujilaumu kwa yale tuliyofanya hata aliyevumbua kisu anastahili lawama maana kuku,mbuzi,kondoo,ng'ombe,ngamia, noah achilia mbali binadamu wengi amekufa sana kupitia hitu tuweapon tudogo tudogo tunakokaa jikoni na buchani!
mshana jr hii imeshakwisha zamani sana, ndio maana nikakwambia kama yangu hiyo....Ungeulizia kuhuku malipo na mahali kwanza MankaM
jibu limepatikana mshana jr nimuelewa sana...My love kabanga nijibie hapa
ndio mwenyewe kabisa...kabanga huyu huyu au??
hana maoni hapo ma love MankaM...Ndio mtani au una maoni juu ya hili
Ni pongezi tu mtani amepata kilicho chema