Ajutia kumfunga mwalimu gerezani, aomba ushauri

Ajutia kumfunga mwalimu gerezani, aomba ushauri

Manengelo, mwalimu kumlala mwanafunzi wake anayejipeleka peleka kwake ni ngumu sana kwa sababu lazima mwalimu ahisi ni mtego kawekewa na wananzengo.
.
Nakumbuka mimi mwaka 2013 tu hapo Geita bwalo la Polisi kulikuwa na kabinti flani matata sana yani kazuri kila idara kuna dogo mtoto wa kotazi tu alikuwa anakamega sasa kumbe kale kabinti kana milolongo ya wanaume ajabu na wengi ni watu wazima.
.
Dingi yake akaweka mtego me nikashuka zangu bwalo kulikuwa na konkodi moja hivi la kike na kale kabinti si nikakaita mwamba kakaja wakati huo hakajui lolote kuhusu mtego wa baba yake, ikapigwa ngoma ya Dulayo "twende na mimi" kabinti kiukweli kamejaaliwa guu na kalio wasukuma unatujua kakaanza kukata uno nikakashikilia dk 5 nyingi mzee wake akafika akiwa na silaha pamoja na askari wengine watatu.
.
Kesi ikahamia kwangu kilichotokea hapo ni siri yangu na nilikuwa naingia kazini saa 4 usiku.
Kwa hiyo ni ngumu sana mwalimu kumlala binti anayejitongozesha tongozesha mambo yameharibika
mkuu mtu akiwa anakuja mwenyewe lazima uogope na ushtuke jamaa angu alichelewa kushtuka nusura wamle kichwa...
 
Bushmamy alwys unanifurahisha sana
Alichokifanya huyo Baba Ndicho na mimi nilifanya kwa binti yangu wa kazi, maana muda ambao Sipo alikuwa analeta sana wanaume nyumbani kulala nao, roho iliniuma sana maana nilimkanya hakusikia kwao nikapiga simu wakamuonya lakini wapi? Ikabidi nimpe ruhusa kwa mwezi mara mbili ya out, kwa hiyo Akitaka kwenda kwa mwanaume wake ananiaga kabisa na ufunguo ananiletea ana ondoka, baada ya Masaa mawili anarudi na anaendelea na. Shughuli zake kama kawaida,
Alivyokuja kwangu hata wiki hajamaliza analeta wanaume analala nao nyuma ya nyumba, nilishangaa. Sana kwa kweli
Maji yalinifika shingoni ikabidi nimruhusu tu aende gesti na sio hapo nyumban
 
ahahahahahaha.
kwahiyo mkuu ukawa unawa-"sovia" maswali halaf na wao wana solve ya kwako au???
ahahahah.Noma sana..
ila maswali hayo jamaa wanampelekea saa 8 usiku halaf anashindwa kujua huo ni mtego?
Haukuwa mtego ingekuwa mtego angeshikwa ila hakushikwa mpaka baada ya ujauzito sema jamaa inaonekana hakuwa na mawasiliano ya karibu na binti au vyovyote vile maana ukiwa unakula mahindi ya shule lazima uwe na ml 2 za akiba ndani lolote likitokea zinaokoa kama huna hizo basi angalau uwe na nauli ya boda boda na basi la kurudia kwenu
 
Mkuu Mimi ni mwalimu kwa taaluma,ogopa sana hawa watoto wanavishawishi vingi sana,mtoto wa kidato cha pili anakuwa na umri wa miaka 15-17 hivyo anakuwa ameshabarehe,lakini kuhusu mada ya huyu memba ni kipindi cha miaka kama nane nyuma,so kama ujuavyo wasukuma huwa wanachelewa sana kupeleka watoto shule ,lakini pia kumbuka hapa nilipo kwa sasa kuna had I watoto wa 21.yrs wako form one na ni wa like,acha kabisa mkuu.
Mungu akusaidie mkuu na jitahidi uwe makini sana.... Just waza aibu utayopata mbele yangu wanafunzi plus walimu na wazazi pindi difenda inapokuja kuchukua mhalifu hhahahahaha
 
Da amina mkuu,
Mungu akusaidie mkuu na jitahidi uwe makini sana.... Just waza aibu utayopata mbele yangu wanafunzi plus walimu na wazazi pindi difenda inapokuja kuchukua mhalifu hhahahahaha
 
Nimeishi nimefundisha na nimeyaona hayo sana narudia tena kanda ya ziwa ni kawaida kabisa nasema tena kawaida sana yani hii story nimeisoma japo sijui msimuliaji ila ni haijapinda hata kidogo kulingana na uzoefu wangu wa miaka nenda rudi kanda ya ziwa pole ya mwlm wanasheria watasema namna ya kufanya
Basi hatar sheikh
 
Mkuu ni akili gani ilipaswa kutumika hapo?
Chief hakupaswa kumkaribisha ndani hata kidogo.
Halaf yy ni mwalim so angeweza kuwa consult hata walimu wakike kwa cm muda ili wajue hilo na kama vip wamsaidie.Au hata hapo anapoishi kunaweza kukawa na majiran ambao anajuana nao ambao angeweza kum post huyo bint akadaidiwa kuhifadhiwa.iloka mistake sana kumuingiza ndani wakalala pamoja hata kama wasingefaya ngono bado kuna risk nyingine kumuweka ndani mtoto wa watu bila taarifa popote pale.
 
Chief hakupaswa kumkaribisha ndani hata kidogo.
Halaf yy ni mwalim so angeweza kuwa consult hata walimu wakike kwa cm muda ili wajue hilo na kama vip wamsaidie.Au hata hapo anapoishi kunaweza kukawa na majiran ambao anajuana nao ambao angeweza kum post huyo bint akadaidiwa kuhifadhiwa.iloka mistake sana kumuingiza ndani wakalala pamoja hata kama wasingefaya ngono bado kuna risk nyingine kumuweka ndani mtoto wa watu bila taarifa popote pale.
Ila ni kweli,labda na mwalimu alipenda mwenyewe au ushawishi ulimzidi nguvu
 
Haukuwa mtego ingekuwa mtego angeshikwa ila hakushikwa mpaka baada ya ujauzito sema jamaa inaonekana hakuwa na mawasiliano ya karibu na binti au vyovyote vile maana ukiwa unakula mahindi ya shule lazima uwe na ml 2 za akiba ndani lolote likitokea zinaokoa kama huna hizo basi angalau uwe na nauli ya boda boda na basi la kurudia kwenu
Bahat mbaya sana jamaa hakua na lolote kati ya hayo
 
Ni asilimia 10 tu ya wanafunzi wanaopata mimba huwa wamebakwa lakini 90 hutaka wenyewe kwa tamaa zao za kimwili au kimaisha
 
Ni mwanamke sasa, miaka 12 iliyopita akiwa kidato cha pili katika shule moja halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.

Anasema akiwa kidato cha pili, alijikuta anampenda Mwalimu wake aliyekuwa anamfundisha somo la Physics

Anasema mwalimu huyo ambaye alikuwa ni kijana kati ya miaka 26 na 29 akitokea mkoani Kilimanjaro wala hakuwa na tabia za kuwatongoza wanawake wala wanafunzi, muda mwingi alikuwa anashindia majarubani na shughuli zake binafsi

Anasema "Akiwa hapo shuleni alijikuta anampenda mwalimu huyo bila sababu na alitumia mbinu kadha wa kadha kujitongoza kwa mwalimu huyo lakini mwalimu huyo hakuingia katika mtego pia alimtuma rafiki yake wake wa kike amwambie mwalimu anavyompenda"

Mwalimu huyo aliniita pembeni na kunikataza kuwa yeye hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi akamsisitiza asome kwanza.

Licha ya kuniambia hivyo sikukata tamaa na kilichosababisha nisimuache kumfuatilia ni pale alipokuwa kila akija kufundisha darasani anamuita Rose, kila swali Rose jibu, kila kitu lazima atuambie Rose, nikawa nawaza huenda mwalimu ana mahusiano na Rose ndo maana ananikataa mimi, nikawa naumia sana

Siku moja niliaga nyumbani naenda part kwa mama mdogo, nilifika kwenye part ila wazo langu ni kwenda kulala kwa mwalimu usiku huo

Nilifika kwenye part lakini baada ya muda mchache,nilimuaga kaka yangu kuwa narudi nyumbani kulala

Niliondoka mpaka kwa mwalimu huyo ambaye alikuwa amepanga mtaani,nilifika kwa mwalimu nilibisha hodi, kwa muda mrefu huku nagonga mlango, ambapo mwalimu ilibidi amke afungue dirisha, kuangalia, akasema njoo huku dirishani, nikaenda dirishani, nikamwambia mwalimu, nifungulie kuna wachawi wananifukuza", Aliniuliza natoka wapi usiku huu?

Nilimwambia nifungulie nitakwambia, ndipo mwalimu alipofungua mlango nikaingia ndani, akanikaribisha ndani nikaingia nikakaa, akawa ananiuliza usiku ule natoka wapi? Nikamwambia natoka kusoma kwao Sarah ila wakati naenda nyumbani nimekutana na wachawi wamenifukuza "mwalimu akauniuliza kwa nini hukurudi kwao Sarah? Nikamwambia" walikuwa wanatokea kwao Sarah

Mwalimu akanambia, basi ngoja nikuache ulale humu ndani ili kesho uende nyumbani, mimi ngoja nikalale kwa mwalimu Peter" Nilikataaa nikamwambia siwezi kulala mwenyewe watanifuata wachawi." Akanambia ngoja nikupeleke nyumbani basi," Nikakataa kata kata "Wazazi wanaweza kukufikiria vibaya,na sasa hivi usiku sana kwetu ni mbali sana, acha tu mwalimu nilale

Mwalimu aliingia chumbani, akaniletea shuka nilale kwenye sofa, nikakubali, yeye akaenda kulala chumbani kwake, nililala kama dakika 20 hivi nikawaza nifanyeje nilale na mwalimu, nikaamka nikaenda chumbani kwa mwalimu na kumwambia" Kuna watu wananishika miguu,naogopa kulala mwenyewe, acha tu nilale na wewe mwalimu, naogopa sana"

Mwalimu alishindwa kunikatalia, tulilala kila mtu shuka lake, lakini nilipogundua mwalimu ameanza kusinzia niliweka shuka langu pembeni, nikavuta la kwake, nikamsogelea na kumkumbatia, mwalimu alishtuka akaniuliza Tatu kulikoni? Nikamwambia mwalimu nimeshindwa kuvumilia, utanikubalia tu na hali, nikavua nguo.......mwalimu akashindwa kunikatalia, ikabidi tu tufanye.

Licha ya mwalimu kuniambia iwe mwanzo na mwisho kufanya mambo hayo, kuwa amejutia kufanya kosa kubwa sana kufanya mapenzi na mwanafunzi wake" maneno hayo aliniambia kipindi anisindikiza alfajiri naenda nyumbani.

Baada ya miezi 5 nilifukuzwa shule kwa ujauzito, wazazi walinibana niwambie ujauzito nimeupata wapi,ilibidi niwambie ni mwalimu.

Kesi ikafunguliwa mahakamani, mwalimu akashtakiwa kwa ubakaji na mimba, akafungwa miaka 30 jela.

Nilitaka nimkane mwalimu ila wazazi na wanasiasa wakaingilia kati wakanitishia ikabidi nikubali

Tatu Limbe sasa yupo mtaani jijini Mwanza anatafuta vibarua ili mwanae ale na asome huku baba wa mtoto akiwa gerezani.

Anasema anajutia,mwalimu hakuwa na kosa, yeye ndiyo alikuwa na makosa.

Anataka kukata rufaa ili hukumu itenguliwe, je itawezekana?
hapa jamii forum kuna mengi sana ya kujifunza ni kisa cha masihara lakini kimejaa mafundisho mno! kama ni kweli kwa aliyetendewa anaweza kumnusuru mwalimu huyu akawa huru.
 
Umenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito
Kwa hiyo huyo kijana huwa anakuja kumdukulia nyumbani kwako?
 
Hii sheria ni bora ingefutwa maana vibinti vyenyewe ni chenga balaa,kuna siku niliingia anga la vibinti vya darasa la sita,jasho lilinitoka
 
mkuu mtu akiwa anakuja mwenyewe lazima uogope na ushtuke jamaa angu alichelewa kushtuka nusura wamle kichwa...
Namwambia manengelo anaona natania kwa kuwa yeye ni mwanamke anachukulia sisi ni wadhaifu kiiiiivo.
Demu ajilete lete tu hivihivi unaanzaje kumla hata kama huna akili lazima chale zikucheze
 
Mi niseme tu mwlm alijitahidi kwa uwezo wake kanda ya ziwa ni ngumu sana tena kasema na majaruba ina maana alikuwa bush flani mi nasema wanasheria watoe tu ushauri kwanza hii story ni kweli kabisa
Boss! Kanda ya ziwa majaruba yapo hadi mijini kabisa kutokana na mamvua kuwa mengi.
Nenda Geita, Sengerema au Mwanza uone
 
Back
Top Bottom